Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM imezoea kumtumia Malecela unapotokea uchaguzi ambao ni uncertainty, walifanya hivyo Busanda na Biharamulo. Kuna wakati niliwahi kumsikia Malecela akilalamika eti CCM inamfanya kama tingatinga...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakati tukielekea kwenye Uchaguzi Mkuu, naona mchecheto unazidi kukikumba moja ya chama Kikongwe kabisa barani Afrika yaani CCM, nasikia Mkuu wa Kitengo cha Propaganda ( Hivi inakuwaje chama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo katika Jimbo la Karatu mrithi wa kiti cha Ubunge katika Jimbo hilo amechukua fomu kwa maandamano makubwa na kusindikizwa na wananchi wa mji wote wa Karatu. Huyu anaitwa Israel Yohana Natse...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndugu wanaJF wenzangu, kwa mara ya kwanza nimeamua kusema yanayonikera humu ndani kwani kuna watu humu wamekuwa mbele saaana kuvunja harakati za mapambano dhidi ya ukombozi wa nchi yetu. Sote...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kigumu chama cha mafisadi! Kigumu! New CCM primaries system still marred by corruption, fraud By Rodgers Luhwago 8th August 2010 Contrary to expectations, the newly introduced system by...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Haya ni maneno ya Makamba wakati Kikwete akirudisha form ya kugombea uraisi Kwa miaka mitano umeonesha umahiri mkubwa, na nataka kukuambia kazi ya kukurudisha Ikulu ina wenyewe. Nawaambia wenzangu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Yule kijana mwenye mbwebwe yuko wapi? si arudi kundini jamani mbona anaharibu future yake ya siasa? Chadema inakukaribisha kwa mikono miwili mwana mpotevu!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jana nilibahatika kusikia mazungumzo ya wana ccm pale lumumba,kinahofanyika sasa kuhusiana na kura za maoni na matokeo yaliyotea ni kwamba wale watu walioshinda kura za maoni lakini hawawataki...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kama kuna mwenye data, jk amepata wadhamini wangapi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za Uhakika zinasema kuwa, viongozi wooote waandamizi wa CCM hivi sasa wapo kwenye mkakati madhubuti kuhakikishisha kuwa Dk Slaa hafui dafu kwa JK. CCM imeshtushwa kwa kiwango cha juu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, matokeo ya kura za maoni yanaonesha kuwa Mh Edward Lowassa has won big, na Mh Basil Mramba has won big. Swali linakuja, ni kwanini haa jamaa wamepata ushindi mkubwa? NI kwamba wanafaa zaidi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Written by Edris Kiggundu ` SUSPECTS: (L-R) Idris Magondu, Muhammed Aden Addow and Hussein Hassan Agad An Alcatel mobile phone recovered from a house in Makindye, where a bomb...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kesho kwenye viwanja vya Jangwani Jijini DSM kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara wa Dr.Slaa kwa ajili ya kuhitimisha zoezi la kuzunguka mikoa yote ya Tanzania kwa ajili ya kuomba kudhaminiwa na...
0 Reactions
81 Replies
8K Views
Kama hii ilikuwa mbinu yao, CCM kwishneiy, eti wamemchagua mtu mwenye jina kama la aliyekuwa mbunge wa Karatu ambaye sasa ni mgombea urais wa Chadema Dr. Wilbroad Slaa kugombea jimbo hilo...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Watoto wengi wa Kitanzania wanaishi maisha ya namna hii. Kosa lao kubwa ni kuwa walizaliwa na wazazi wa kitanzania, ingawa hilo halikuwa chaguo lao. Je unataka waendelee kuishi namna hiyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesikia katika kituo cha Channel 10 taarifa yao ya saa moja usiku huu kwamba katika mkutano wake wa hadhara katika viwanha vya Jangwani leo hii, Mwenyekiti wa Chadema amesema kwamba Chadema...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
JK asipuuzie suala la siasa za Mbeya kama zilivyojionyesha katika chaguzi za kura za Chama kuteua Wabunge. Mkoa wa Mbeya ni kati ya mikoa ambayo JK alipata kura nyingi sana hata kuzigi the...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kwa wazalendo wote waliona uchungu na nchi hii Ndugu zangu muda wa mananeno umeisha sasa inatakiwa vitendo wazo langu ni kuwa Tuwaombe Chadema waanzishe ule mtindo ambao umezoeleka siku hizi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
..huyu ni fisadi lakini wana ccm rombo "hawaoni", wala "hawasikii." ..na hili inaelekea kama vile ni tatizo la nchi nzima. hata wale mafisadi walioshindwa ktk mahimbo mengine inaelekea...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Katika kipindi hiki kigumu cha kuwachagua viongozi watakao tuwakilisha na kuwasilisha wawazo yetu na matatizo yanayotukabili katika Bunge letu tukufu la jamuuri ya muungano wa Tanzania yatubidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom