Jimboni kwa Lowassa kwawaka moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jimboni kwa Lowassa kwawaka moto

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by rimbocho, Aug 10, 2010.

 1. r

  rimbocho Member

  #1
  Aug 10, 2010
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutoka katika vyanzo vya kuaminika inasemekana matokeo ya Kura za maoni huko Monduli bado ni kitendawili kwani zimesharudiwa lakini bado hazijatangazwa na inasemekana kesho jumatano wanarudia tena.

  Hata hivyo wananchi wa Monduli wamesema kama zitarudiwa mara ya tatu yaani kesho basi hawapigi tena kura na wanarudisha kadi za CCM. Chadema ni wakati wenu huu kwani hata nyani atkitaka kufa miti yote huteleza.
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  CHADEMA chukueni hili jimbo la mzee wa fweza
   
 3. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2010
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Imekuwaje tena?! Si EL alikwishatangazwa kushinda kwa asilimia 100!
   
 4. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #4
  Aug 10, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  mbona hii habari ni tamu, nakumbuka niliwahi kusoma kuwa Lowasa ashinda kwa kishindo kura za maoni kupitia kigazeti cha Mtanzania .
   
 5. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ya kweli haya mkuu? Khabari njema hii. EL should go!
   
 6. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mtume/ Christ has risen in deed. Kuna kitu kinafukuta huko, would like to hear more. Inawezekana this is the begining of the end, and may be the end of the begining.
   
 7. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tuendelee kuwa na imani thabiti, karatasi tu ndo mwamuzi mwaka huu. Hata wakiiba lakini watakuwa wamepata ujumbe
   
 8. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,165
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Lete source ya hiyo habari yako
   
 9. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  radio mbao...!
   
 10. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #10
  Aug 12, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Nimeambiwa na dada mmoja wa kimasai kutokea huko Monduli kuwa kuna wizi wa kura uliofanywa na watu wa Lowassa lakini Dr Toure hakukubaliana na matokeoa ya haraka haraka yaliyotangazwa kabla ya kuhseabu na kuhakiki kura; hivyo akaamua kufuatilia kwa karibu na sasa inawezekana kweli kuna mabadiliko. Dada huyu anadai kuwa Lowassa siyo mmasai hivyo asingeweza kupata kura za wamasai dhidi ya Dr Toure ambaye ni mmasai halisi na anaheshimiwa sana mwiongoni mwa wamasai. Hata hivyo, it might be REDIO MBAO, kwa sababu hicho siyo chanzo cha habari kinachoweza kuaminika sana.
   
 11. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  tangu lini Mmasai akawa JAMBAZI?
   
Loading...