Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 373
Yeah.... najua nimepotea sana mtu mzima lakini nitaanza kuonekana jamvini kwa sana katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi. Hadi sasa sijaamua kura yangu ya urais nimpe nani na so fa sijaridhishwa na yale ambayo nimekuwa nikiyasoma. Nimejifunza mengi kupitia chaguzi za Marekani na Uingereza mwaka huuna natumaini viongozi wetu pia naowamenufaika so sitegemei kuona mikutano ya kampeni ikitawaliwa na 'character assassination', na matusi kedede kama ambavyo tumekuwa tukishuhudia chaguzi zilizopita.
Nimeainisha maeneo makuu matano ambayo naamini ndipo matatizo yetu mengi yalipo na kwa kweli kura yangu itakwenda kwa mgombea atakaye toa maelezo mazuri kuhusu namna ya kuboresha masuala haya:
1.Namna ya kuboresha matumizi na kudhibiti ufujaji wa hela za walipa kodi.(Better use of
public money)
2.Jinsi ambavyo tunaweza kukuza uchumi wetu huku tukilinda mazingira yetu.(Economic growth and Environment
Protection)
3.Jinsi ambavyo gap kati ya maskini na matajiri linaweza punguzwa.(Reducing inequality)
4.Uwazi na uadilifu katika uongozi na mambo yote yanayowahusu wananchi.(Open and
effective leadership)
5.Usimamizi na utekelezaji mzuri wa sheria. (Fair enforcement of law)
Ni hayo tu kwa leo, am back.
KANA.