X-PASTER
Reaction score
169

Profile posts Latest activity Postings About

 • Salaam ndugu bado uko hapo! Mimi nimepita tena nikachangia mara chache lakini jana kwa ghafli nimejikuta ninayuiliwa kwenye uwanja wa dini sijui kwa nini. Nilikuwa nimeingia nikajibu post wakati wa ku-send napata habari siruhusiwi, siingii tena. Una uwezo wa kuchungulia tatizo ni nini??
  Salaam ndugu; naona umeniokoa kwa kubadilisha rangi katika post moja...
  Kumbe bado unaniangalia kama malaika mlinzi - nafurahi!

  (wakati mwingine nafikiri: je siku hizi unatembea kwa jina gani ukirusha mishale yako kwenye dini???)
  Watch your thoughts, for they become words.
  Watch your words, for they become actions.
  Watch your actions, for they become habits.
  Watch your habits, for they become character.
  Watch your character, for it becomes your destiny.
  If People Criticize You,
  Hurt You,
  or
  Shout at You,
  Don't be Bothered.
  Just Remember...
  In Every Game, Audience Make The Noise,
  Not The Players...!
  Sonara. Wacha fikra mbaya, nia yangu ilikuwa kutaka kukusaidia kama ulishindwa kuzibandika picha, mara nyingi watu wanafanya makosa kwa ku'copy picha kutoka kwenye email zao na ku'paste kwenye forum, kitendo ambacho kinapelekea picha kuto onekana...!

  Sometimes I wonder, Why some people think negative and try to guess what others thinking....!

  Pole sana kama nilikukwaza.
  Nimezirejesha picha ili kukudhihirishia kauli yako kuwa haikuwa ya ukweli ni dhana na dhana ni mbaya hukumu yake unaielewa vyakutosha, lakini kwa hili Mmungu akusamehe inawezekana ulimi ulikuteleza na mkono ukafuata kuandika mandishi
  Kwa wale ambao hawana program hii ya .rar, tafadhali waingie kwenye kiugo hiki WinRAR archiver, a powerful tool to process RAR and ZIP files ili kupakuwa program ya rar format, kwani humo ndani ya .rar ndimo kuna vitabu nilivyo watumia.
  mkuu nashukuru kwa vitabu lakini vipo kwenye fomat ambayo siwezi kuviona (RAR format).
  naomba uviweke kwenye pdf au hata word.asante
  Nashukuru sana ndugu yangu steve Dii, pia nafarijika sana kila ninaposoma hizi rambi rambi, kwa kweli sina cha kuwalipa ila Mwenyezi mungu ndiye atakaye walipa Insha'Allah... Kwa kipindi hichi nipo Dar Es Salaam... tupo pamoja mkuu.
  Mkuu X-P,

  Nakupa pole sana wewe, familia na marafiki wote kwa msiba wa mzazi wako uliotokea wiki chache zilizopita. Namwomba Mwenyezi Mungu Amweke Pahala Pema Peponi. Amina.

  Steve Dii

  NB: Naandika hapa maana nilichelewa kutoa salamu zangu kwenye thread. Ahsante.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top