Enyi viongozi wetu wa dini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Enyi viongozi wetu wa dini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BENSON MSEMWA, Aug 11, 2010.

 1. B

  BENSON MSEMWA Member

  #1
  Aug 11, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitafurahi na kuwa na amani sana kama kila kwenye mikusanyiko ya ibada zetu za ijumaa,jumamosi na jumapili hasa mwaka huu wa uchaguzi viongozi wa dini zote kutenga muda maalum wa kutoa elkimu ya uraia ili watu waweze kufanya maamuzi sahihi siku ya kupiga kura,tuweke kando itikadi zetu,tulikomboe taifa na ombwe la uongozi kwa kuchagua mtu na si chama wala dini yake,taifa ni letu sote nanyi viongozi wa dini ndio watu pekee wa kulikomboa taifa
   
Loading...