Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Wadau,
Leo gazeti la Mwanahalisi limeripoti ufisadi mkubwa wa mabilioni ya mapesa unaofanyika Ikulu ukimhusisha Salva Rweyemamu. Ni kuhusu mapesa ya serikali kutumika katika kampeni za JK katika mradi wa kuchapisha picha, vipeperushi, n.k. zitakazotumika katika kampeni ya mgombea urais wa chama hicho. Ni EPA nyingine tena hiyo......
Mwenye kupata soft copy ya full story ya Mwanahalisi -- ikiambatana na vielelezo vilivyochapishwa -- tunaomba atuwekee hapa