Tucta tupo nyuma yenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tucta tupo nyuma yenu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BENSON MSEMWA, Aug 11, 2010.

 1. B

  BENSON MSEMWA Member

  #1
  Aug 11, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NI MWAKA WA MAPINDUZI MAKUBWA KWA KILA IDARA NA KUONDOKANA NA OMBWE LA UONGOZI LINALOSABABISHA KERO NA MATESO KWA WANANCHI,MAISHA NI MAGUMU KWA WAFANYAKAZI NA WATU WA KAWAIDA,TUCTA MTOE TAMKO KALI BILA WOGA HAKUNA KITU MTAKACHOPOTEZA BALI KULETA UKOMBOZI WA KWELI,KURA ZENU NA ZA JAMAA ZENU NI MTAJI TOSHA WA MABADILIKO,TUPO NANYI HAKUNA KURUDI NYUMA:smash:
   
 2. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Mie kila nikitoa msaa nakumbusha mabo ya kura kutompa JK wewe je unafanya kwa vitendo?
   
Loading...