KwAnini tuwaendekeze? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KwAnini tuwaendekeze?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BENSON MSEMWA, Aug 11, 2010.

 1. B

  BENSON MSEMWA Member

  #1
  Aug 11, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  UKIACHILIA MBALI VYOMBO VINGINE VYA HABARI,HIVI VYA UMMA KILA SIKU VINAZIDI KUWA VITUKO KWA KUEGEMEA UPANDE MMOJA NA TENA PENGINE HATA KMSHAMBULIA MTU TISHIO KWAO KWA MTU WAO KAMA WALIVYOFANYA JANA NA LEO KWA MGAYA WA TUCTA,WANATOA WAPI UJASIRI?WANAJUA NI MALI YA UMMA?WANAFANYA KWA MASLAHI YA NANI?KWANINI TUWAFUMBIE MACHO?:smash:
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kibarua kaka!...
  WASIFANYE HIVYO WAKALE WAPI?...
  Kazi zao ndo zinawafanya wawalete hadi mama-wakwe mjini kutembea!
   
Loading...