Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania wamechoka na maisha kuwa magumu hawaoni direction ya maisha yao mbeya walishaonesha ukomavu wao wakampiga JK mawe. Je watanzania katika kuelekea uchaguzi watamzomea na kupiga mawe baada...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Mabadiliko Ya Katiba Visiwani Zanzibar Na Salma Said, WAJUMBE wa baraza la wawakilishi jana wamekutana na kujadili rasimu ya sheria ya mabadiliko ya katiba itakayowezeshwa kuundwa kwa serikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa kwa Jinsi upepo unavyovuma sasa hv katika Siasa za Tanzania, kutona na Kura za Maoni ndani ya JF pamoja na Kura za Maoni zinazoendeshwa na Gazeti la Serikali ya Kikwete ni wazi kwamba Dr...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
I am watching live as the elections returns are announced and being desplayed on The television and other journalist..its is the first time in East Africa that a country is using these degital or...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa miaka mingi CCM kimejivuna kwamba ni chama kikubwa na chenye wanachama wengi zaidi ya vyama vingine, lakini ktk chaguzi hizi zilizopita, Ktk majimbo yote hakuna hata jimbo moja lililokuwa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nimekuwa nikifuatilia Vyombo vya Habali,, na kusikia Mgombea Mmmoja anapiga Campaign katika mikoa mbalimbali na Juma mosi alikuwa Jangwani DSM,, na nikajaribu kuulizia nikasikia ETI ANATAFUTA...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Dar es Salaam, Hussein Siyovelwa (Ilala); Kimangale Mussa (Segerea); Heko Pori (Ukonga); Shaban Mapeyo (Kawe); Shabaan Nassor (Kinondoni) na Mustafa Mungwe (Kigamboni). Tanga Mussa Mbarouk...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Leo nimeona kwenye Magazeti Julius Mtatiro atagombea Ubunge katika Jimbo la Ubunge kwa tiketi ya CUF. Huyu Jamaa nilikuwa sifahamu kwamba yuko CUF, anyway kila la kheri lakini Mnyika lazima...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Akizungumza wakati wa kutangaza majina ya wagombea wa nafasi ya ubunge na uwakilishi yaliyopitishwa na Baraza Kuu la Uongozi, Dar es Salaam jana, Profesa Lipumba alisema pamoja na umakini wa Dk...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mmhh wapnezi wa chadema na wote wa upinzani naona neema inazidi kurtufungua kupitia uchaguzi wa ccm hivi majuzi kuna kura nyingi za kawe zimekutwa msituni za kugombea ubunge na udiwani ambapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MMMhhhh jamani jamni sisiemu hii sio ile kabisa wapendwa najiuliza nyerere alienda zikwa na sisiemu yake mbona aibu zinazidi kuwatokea puani siku hadi siku ni wapi rais kikwete utakimbilia na aibu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, nimeona hii picha kwenye mwananchi online, jana pale Tanga mambo yalikuwa yamenoga kweli. Hizi nguo nyekundu na zile sare za chadema naona zinafaa sana kuikomboa nchi yetu toka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika taarifa yao ya saa moja usiku huu, kituo cha Channel Ten kimeonekana kimewafanyia Chadema uharamia kwa kutoa footage ya mkutano wa chama hicho uliofanyika katika viwanja vya Jangwani...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Presidential Trust Fund(PTF) chini ya Rais Jakaya Kikwete Huu mfuko umegeuka kuwa wa kisiasa badala ya kufanya kazi za kitendaji. Huu mfuko chini ya Dr Chijoriga, waliokopa wanaandamana...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwamba Rais wa Tanzania anatakiwa kuwa Mkatoliki au Muislam. Fuatilia tulipotoka, tulipo na tunakoelekea.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WAKUU, Naomba kwenu weledi wa politic hivi CCM itapata athari zozote kutokana na kufuata mfumo wzamani wa kura ya maoni kutoka kwa wananchi??Je kubwagwa kwa wabunge takribani 70 kunamtikisiko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kuwa Dokta Slaa ameanza kampeni kabla ya Muda. Ni kinyume cha sheria maana kila anapopita anaeleza atakayowafanyia Watanzania pindi akichaguliwa...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Nimepata taarifa kuwa Rais JK amewapandishia mishahara Askari wa vyombo vya Ulinzi na Usalama hadi asilimia 40 kwa cheo cha SSP (Polisi na Magereza)! Kwa wenye akili timamu tunajiuliza kwa nini...
0 Reactions
27 Replies
17K Views
CCM imezoea kumtumia Malecela unapotokea uchaguzi ambao ni uncertainty, walifanya hivyo Busanda na Biharamulo. Kuna wakati niliwahi kumsikia Malecela akilalamika eti CCM inamfanya kama tingatinga...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakati tukielekea kwenye Uchaguzi Mkuu, naona mchecheto unazidi kukikumba moja ya chama Kikongwe kabisa barani Afrika yaani CCM, nasikia Mkuu wa Kitengo cha Propaganda ( Hivi inakuwaje chama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom