Jamani Hynes Kiwia mbunge wa Ilemela anaongea sasa hivi bungeni ila Star TV hawajaonesha sura yake tangu alivyoanza kuongea. Ikumbukwe Star TV inamilikiwa na Anton Dialo aliyekuwa mbunge wa...
Na Nova Kambota,
Nasema wazi Anne Makinda hana la kujivunia na pengine hata wanahistoria hawana la kuandika juu ya mwanasiasa huyo ambaye ni dhahiri sasa nyota yake inazidi kufifia kila sekunde...
Mwaka 1968 katika kitabu chake cha Ujamaa Mwl. J. K. Nyerere alipata kuzungumzia juu ya madhara ya utegemezi wa fedha toka nje! Ktk kitabu hicho alipaswa kunena haya, namnukuu...
Ni jambo la...
Na Sharon Sauwa
28th July 2011
Mbunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe, amesema tatizo la umeme ni la kutengenezwa kwani anao ushahidi unaoonyesha kuwa Wizara ya Nishati na Madini inapinga na...
Wakati ule alipochukua uamuzi mgumu wa kujiuzulu, alisema, " ETI KISA NI UWAZIRI MKUU" ni kama vile alikuwa mtu aliyekuwa ameshinikizwa na mtu fulani kujiuzulu ili kupisha kelele za watanzania...
Mwaka jana(mwaka wa uchaguz mkuu) bei ya tumbaku ilpanda hadi kufikia zaid ya sh 3000 kwa kg karibu mara mbil ya bei ya miaka ilyopita, kiasi cha kvtia wakulma weng zaid kulima zao hl il kjkwamua...
Sasa hivi uzinduzi wa Sherehe ya miaka 50 umeshafanyika muda mchache iliopita na aliyezindua ni Dr. Salim na sasa sikinde wanatoa burudani! Tunategemea Jaji WArioba ambaye yuko hapa baadaye...
DIWANI wa Kata ya Idetemya wilayani Geita, Juma Nyembe Machibya (49) wa CCM amepata hasara ya zaidi ya Sh milioni 51 baada ya wananchi wa kijiji cha Nyabulanda kumvamia na kuteketeza kwa moto...
Ile nguvu ya Nape aliyoanza nayo mara baada ya kuchaguliwa kuwa katibu mwenezi wa CCM inazidi kufifia siku hadi siku, tuliambiwa atakapomaliza kufanya maandamano na mikutano mkoa wa Kilimanjaro...
wana JF,
Leo majira ya mchana Kamanda wa kikosi cha ardhini Mh. Godbless Jonathan Lema (MB) atapokelewa na madereva wa daladala pamoja na wananchi wengine wapenda haki katika maeneo ya Kisongo...
Uchunguzi wa Mauaji
Katika hatua nyingine, Werema amekiri bungeni kwamba Serikali imekuwa dhaifu kwa kutochunguza vifo vya raia ambavyo vimekuwa vikitokea katika mazingira yenye utata na kuahidi...
Nina kila sababu ya kusema hivi, kwani kabla ya mwana JF yoyote kujibu hii mada, apate walau muda mfupi wa kuitafakari, kwanza ni bunge ambalo wabunge wana hoji kila jambo, kwani hakuna anaye...
TAASISI ya Vox Media Centre Tanzania na East Africa Business and Media Training Institute (EABMTI) kwa ushirikiano na kituo cha Star TV kesho wataendesha mdahalo wa kibunge, mada ni Bunge la 10...
Stori za jana kutwa nzima sehemu mbalimbali Tanzania zilihusu Wenje, Tundu Lisu, Mch Msigwa na Kamanda Lema....
Kila kona, kila kijiwe walitajwa wana CDM na wabunge wao...
Sehemu kubwa ya...
Na Maggid Mjengwa,
PTOLEMY, mwanafalsafa wa Kiyunani alipata kuandika: Ex Africa simper aliquid novi". Maana yake: "Kila kukicha kitazuka kioja kingine Afrika."
Naandika makala haya...
Warioba anajichanganya mwenyewe, anasema Serikali mbili malalamiko yanaendelea kujitokeza kila kukicha , vilele anasema wanaohitaji Serikali tatu wasijidanganye kuwa zikianzishwa kero za...
Kufuatia uamuzi wa chadema kumwandikia barua ya onyo Mbunge wa Maswa Mashariki John Shibuda pia mkumtishia kumvua uanachama mbunge huyo, ndani ya wiki hii kumekua na mzagao wa maneno kwamba...
Nasikitishwa sana na tabia wanazoonyesha wabunge wa chadema ya utovu wa nidhamu kuongea wakati spika hajaruhusu, kupiga makofi pasipo sababu, kuongea kwenye mic wakati umekaa. Mmetumwa na wananchi...
...mgao wa umeme uwe saa moja mara moja kwa wiki. Kusiwe na madawa hospitali hata haya yasiyotosha sasa yawe machache zaidi, waalimu na manesi wapigike zaidi na wakulima wapigike zaidi. Labda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.