Bei ya tumbaku ilipandishwa kuvutia kura za wakulima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei ya tumbaku ilipandishwa kuvutia kura za wakulima

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mbasajohn, Jul 30, 2011.

 1. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwaka jana(mwaka wa uchaguz mkuu) bei ya tumbaku ilpanda hadi kufikia zaid ya sh 3000 kwa kg karibu mara mbil ya bei ya miaka ilyopita, kiasi cha kvtia wakulma weng zaid kulima zao hl il kjkwamua na maisha magum yanayowakabl, lakn k2 kinachoshangaza na hata kfanya watu waamin kuwa kpanda kwa bei ilkuwa n danganya toto ya kulagai wakulma hawa masikn il wapge kula kuwachagua viongoz waliokuwa madarakan.
  Nasema hv kwakuwa mwaka huu baada tu ya uchaguz bei ya tumbaku imeshuka na kurud kule kule kwa miaka kabla ya uchaguz yaan chn ya sh 2000 kwa kg.
  Naomba kuwasilisha
   
Loading...