Nyerere: Tusitegemee 'Fedha za nje' kuleta maendeleo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere: Tusitegemee 'Fedha za nje' kuleta maendeleo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gagurito, Jul 30, 2011.

1. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#1
Jul 30, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135
Mwaka 1968 katika kitabu chake cha Ujamaa Mwl. J. K. Nyerere alipata kuzungumzia juu ya madhara ya utegemezi wa fedha toka nje! Ktk kitabu hicho alipaswa kunena haya, namnukuu...

MY TAKE:
Tumekua tukishuhudia safari za mara kwa mara za viongozi wakuu wakitaifa nje ya nchi kutafuta wawekezaji pia kuomba msaada, pia tumekuwa tukishudia nchi yetu ikipokea misaada kadhaa kutoka nje kwa malengo ya kuleta maendeleo.

SWALI: Je kwa mwendo huu twaenda vyema? Je tutafikia maendeleo kwa mendo huu?

2. Kobello

Kobello JF-Expert Member

#2
Jul 30, 2011
Joined: Feb 20, 2011
Messages: 5,688
Likes Received: 654
Trophy Points: 280
Hatutafika!.....

3. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#3
Jul 30, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135
So safari na jitihada za mkuu wa kaya ni kweli hazina tija? Tufanyeje TUJIKWAMUE?

4. J

Jasusi JF-Expert Member

#4
Jul 30, 2011
Joined: May 5, 2006
Messages: 11,484
Likes Received: 165
Trophy Points: 160
Hazina tija. Tujipange upya!

5. Revolutionary

Revolutionary JF-Expert Member

#5
Jul 30, 2011
Joined: Jan 7, 2011
Messages: 457
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Hakuna kitu Tanzania tulijaliwa kama Nyerere!

6. Graph Theory

Graph Theory JF-Expert Member

#6
Jul 30, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 3,804
Likes Received: 1,118
Trophy Points: 280
Journey's king(JK) NI TATIZO

7. Tuyuku

Tuyuku JF-Expert Member

#7
Jul 30, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 3,149
Likes Received: 1,407
Trophy Points: 280

Naunga mkono hoja. Ila wapo watakaobisha!

8. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#8
Jul 30, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

mimi binafsi siamini kama tanzania itaondokana na umasikini wake kwa safari zifanyazo na waheshimiwa kuwaalika wawekezaji na kutafuta misaada!

9. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#9
Jul 30, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

Leo TBC HABARI nimemwona Mustafa Mkulo akisign mkataba wa makubaliano ya fedha za misaada za maendeleo toka kwa Nchi za Korea na Belgium/sweden (*sina uhakika), kwa mwendo huu kazi ipo!

10. J

Jasusi JF-Expert Member

#10
Jul 30, 2011
Joined: May 5, 2006
Messages: 11,484
Likes Received: 165
Trophy Points: 160
Kwa hawa vilaza wetu wasio na vision hiyo ndiyo imebaki kazi ya kujisifia.

11. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#11
Jul 30, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

Kwa Tanzania ya sasa, watu design ya Nyerere ni ngumu kupenyeza katika vyombo vya maamuzi hapa nchini. Ufisadi umetawala uzalendo wetu, tumekua watumwa wa wanasiasa na matajiri..

12. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#12
Jul 30, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

Katika kampeni za uchaguzi mkuu wa 2010, kuna mgombea wa urais toka upinzani alisikika akisema kuwa Rais wa sasa hawezi kuleta Maendeleo na hata maisha bora kama alivyo ahidi coz yeye yupo kimiradi zaidi, kwama anafiti kuwa afisa miradi na sio rais kwan urais waitaji thinking wkt ubwana miradi wataka mtu awe na ujuzi wa field survey na kuomba misaada. Huu mtazamo una'logic ndani yake!

13. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#13
Jul 30, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

Watu wa kubisha bisha ni mhm ktk maisha, tunawaita WAVIMBA MACHO.

14. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#14
Jul 31, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

Watakaobisha shauri zao, habari ndio hiyo Nyerere kesha nena!

15. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#15
Jul 31, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

Kujisifia pasipo performance ni kazi bure! Chamsingi wapunguze safari zisizo na tija na kuomba omba!

Loading...