BUNGENI: Waziri Ghasia awasilisha Bajeti yake; mishahara yapanda

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
sijui mshahara utapanda? Yetu macho!

UPDATES:

Mishahara imepanda lakini bado haijajulikana kwa kiasi gani.
 
pole sana mkuu! Kama kawaida huyu mama anaanza kwa kusifia chama na mbwembwe nyingi!
 
hata kama ipo sidhani kama atataja maana atasema akitaja italeta mtafaruku mtaani
 
miyeyusho tuu km kuongeza watawaongezea shs 5000 tu maana kinachoonekana cha muhimu sana kwenye hotuba za hawa mawaziri ni kusifiana na kupongezana hata ambapo hapastahili pongezi. sioni cha maana anacho present hapo bungeni.
 
anasema ktk bajeti hii mazingira ya utumishi wa umma yataboreshwa kimafunzo na kiujuzi zaidi!
 
bil 8. Matumizi ya kawaida, jumla ya matumizi yote ikulu ni 266 bilns duh!
 
huyu mama kamaliza kupresent wala hajatoa kiasi cha mishahara kitakachotangazwa!
 
bajeti ya mshahara ni trion 3.2 sawa na ongezeko la 40.2%
 
Back
Top Bottom