Mapokezi ya kamanda Lema Arusha

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
wana JF,

Leo majira ya mchana Kamanda wa kikosi cha ardhini Mh. Godbless Jonathan Lema (MB) atapokelewa na madereva wa daladala pamoja na wananchi wengine wapenda haki katika maeneo ya Kisongo akitokea dodoma, na kuelekea mjini na kufanya mkutano katika uwanja wa NMC.

Mh. Lema atatokea dodoma mida ya saa sita, na kufika Kisongo majira ya saa nane au saa tisa.

Nawasilisha.
 
<b>atapokelewa na madereva wa daladala,</b> kichekesho
<br />
<br />
Hv humu jamvini 2na wa2 wazee sana ama ni ufinyu mdogo wa mawazo ama ni wa*¤*e wana mawazo ya ki**¤*e. Lazima (MB) apokelewe kwa shangwe nyingi na ikiwezekana nderemo. Tumeingiliwa humu na magamba lakini mwisho wao itafika tu. UKOMBOZI NI LEO,NA KAMA SI LEO NI SASA HIVI!
 
atapokelewa na madereva wa daladala, kichekesho
kichekesho kivipi???????????
kwani hao madereva wa daladala sio watu ni wanyama au???....
hahahahahaha!!!!labda nikucheke wewe huenda hujamuelewa muanzisha mada........cha kuchekesha ni kwamba mbona walimsikiliza lema na wakafanya kazi na hawakuwasikiliza hao makamanda wenye kupokelewa na madereva teksi......
 
Hiv katika ule mgomo wa vifodi,alienda kuwapa msaada?
hakuwapa sawa bali aliwapa wa kimawazo na ndiyo maana leo anakuja kuzungumza nao..
sasa hawa wengine walitoa msaada gani hali ya kuwa wananchi walikuwa wakiteseka na hali tete ya usafiri????huoni LEMA alitoa angalau unafuu wakamwelewa na kufanya kazi??.
 
Back
Top Bottom