Kutoka Bungeni-Star TV wamnyima coverage Mbunge Hines CHADEMA Ilemela

Magarinza

Senior Member
May 9, 2008
122
13
Jamani Hynes Kiwia mbunge wa Ilemela anaongea sasa hivi bungeni ila Star TV hawajaonesha sura yake tangu alivyoanza kuongea. Ikumbukwe Star TV inamilikiwa na Anton Dialo aliyekuwa mbunge wa Ilemela. Je hii ni sawa??
 
Natafakari documentary moja niliyoiona National Geographical channel juu ya event inayosemekana kuwa ilisababisha uhai duniani. Sasa kwa mfano hawa Star Tv kwa kushirikiara na Idara ya utabiri wa hali ya hewa wanaweza kujua kuwa mvua itanyesha kesho lakini hawana hata kidogo uwezo wa kuifanya inyeshe!

Huu ni upepo wa mabadiliko na hakuna mtu au taasisi inayoweza kuuzuia, kama wana Nyamagana walimkataa bosi wao ni bora wakubali yaishe maana hakuna mtu aliye na hakimiliki ya jimbo kama ccm wanavyodhani kuwa na hakimiliki ya nchi.
Haisaidii lolote bali kuchelewesha maendeleo tu![/FONT][/SIZE]
Jamani Hynes Kiwia mbunge wa Ilemela anaongea sasa hivi bungeni ila Star TV hawajaonesha sura yake tangu alivyoanza kuongea. Ikumbukwe Star TV inamilikiwa na Anton Dialo aliyekuwa mbunge wa Ilemela. Je hii ni sawa??
 
Kwa wanaotazama bunge,mbunge wa Ilemela amechangia wizara ya mambo ya ndani kwa tarikani dk 8 hivi lakini STAR TV inayomilikiwa na DIALO aliyengolewa na HINES amenyimwa coverage kwa muda wote huo.

Walikuwa wakionesha tu picha za wabunge wegine huku ikisikika tu SAUTI yake pekee

Je hili ni iagizo la DIALO kwa wafanyakazi wake
 
labda akiwakandia kuwa hana nafasi nao! au aliwakataza wasijishughulishe kuhusu yeye....makovu ya mchakato wa uchaguzi mkuu!
 
Sasa hivi anaongea Wenje mbunge wa Nyamagana Mwanza pia Star TV wanamuonesha. Inajulikana Masha na Dialo hawaivi chungu kimoja.
 
Utakuwa umechelewa sana kugundua hilo. Tangu bunge limeanza hajawahi kuonekana Star TV hata kwenye shughuli zinazofanyika Mwanza ama bungeni.

Hilo ni agizo toka kwa bwana mkubwa DIALO mwenyewe kwa wafanyakazi wake na wameshaonywa kuwa akija kuonekana kwenye TV yake basi wewe uliyemuonyesha kibarua huna. Siasa na umiliki wa vyombo vya habari ndio matokeo yake haya
 
Huo ni upuuzi,kama hawawezi kuchukua picha kwa uwiano eti kisa makovu ya uchaguz watoe li tv lao hapo alafu huo mchezo haujaanza leo hata tbc wanao juzi niliona kitu kama hicho
 
Nilishangaa sana ikabidi nihamie TBC, this is very unprofessional from Star TV.
 
Hiyo issue ya Kiwia iko wazi na ilishatangazwa kwa wafanyakazi wake wote kuwa sura ya kiwia ni total ban kuonekana star TV.

Tangu aapishwe hajawahi kuonekana sura yake hapo star TV na yoyote atakayethubutu kutoa picha yake imeshatangazwa ofisini kwao kuwa kibarua hana. Huyo ndio DIALO aliyekuwa MMILIKI wa jimbo la Ilemela
 
Jamani Hynes Kiwia mbunge wa Ilemela anaongea sasa hivi bungeni ila Star TV hawajaonesha sura yake tangu alivyoanza kuongea. Ikumbukwe Star TV inamilikiwa na Anton Dialo aliyekuwa mbunge wa Ilemela. Je hii ni sawa??
Sawa sawa tu, hata mimi niko nymbani tv iko sitting room, ninachohitaji ni sauti tu sina haja na sura ya mtu. inaonekana wewe ni miongoni mwa wale waliompigia kura kura JK kwa kigenzo eti ni handsome! ujinga mtupu.
 
Ndiyo tunarudi kule kule kwamba tujiulize,je wamiliki wa vyombo vya habari hawana influence katika kile wanachoripoti vyombo vya habari? Anyaways,Jumapili asubuhi nimeitwa kwenye kipindi star TV sidhani kama watanikatili
 
Kwa taarifa tu ni kwamba kuna wakati LOWASA alipigwa total ban pia Star TV tena wakati akiwa waziri mkuu na habari zake zilipigwa marufuku kutoka kwenye tv hiyo baada ya ule mtandao wao wa 2005 kuanza kumegeka, ilikuwa haina jinsi pale waziri mkuu alipokuwa anafunga bunge maana ilikuwa lazima wamuonyeshe ingawa si mara kwa mara, nimeifuatilia trend hii ya star tv kwa muda mrefu na nikabaini yote haya.

Dialo ana chuki za aina yake kwa wanasiasa wenzakehasa wale wanaosigana kimtazamo na huwa anaitumia tv yake kama silaha ya kuwakomoa maana mtandao wa star ni mkubwa. maagizo yote hayo huwa wanapewa wafanyakazi na wanatakiwa kuyatekeleza kama wanapenda kazi yao, kama huipendi basi nenda kinyume uone shughuli yake
 
Hata mi imenistua sana, hawa startv ni wapuuzi mno, tena mi mwanzoni nilikuwa sielewi nini kinaendelea mpaka nilipogundua kuwa star tv ni ya diallo ambaye alibwagwa chini na Mh Kiwia.....
Kwa sababu hiyo, chadema wanahitaji kuwa na tv station yao.....otherwise this is completel intimidation!!!!
 
Kwani wasipoonyesha sura yake kwenye TV hayo anayoyasema hayatasikia? Au kwa kufanjya hivyo ndo watakuwa wamemvua ubunge? mambo ya ajabu sana haya wanafanya Star TV
 
Ndiyo tunarudi kule kule kwamba tujiulize,je wamiliki wa vyombo vya habari hawana influence katika kile wanachoripoti vyombo vya habari? Anyaways,Jumapili asubuhi nimeitwa kwenye kipindi star TV sidhani kama watanikatili
Kwani wamekuita ili mzungumzie nini?.....ndio maana huwa simsikii kabisa huyu Mh Kiwia, kumbe alishapigwa BAN!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom