Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

leo nimesikiliza hotuba ya nyerere akizungumzia siasa ni kilimo ya mwaka 1972. nimesoma kitabu cha maazimio hayo ambayo ilikuwa ni kuacha jembe la mkono, umwagiliaji, kulima kwa kisasa, kutumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ina maana wanaoenda kumsikiliza wengi wao ni waandishi wa habari tu?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
By ADAM IHUCHA Posted Sunday, July 31 2011 at 12:40 The East African Community Secretariat wants its hunger-stricken partner states to contact Tanzania for emergency food procurement. EAC...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF, nadhani hata nyinyi mmekuwa mkikerwa na baadhi ya wabunge wa CCM na mawaziri wanaodhani wao tu ndio wanaofuata sheria na wafuasi wa vyama vingine hawazifuati. Hotuba iliyosomwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani Wanajamvi, huwa nashindwa kuelewa baadhi ya watu wanapotoa kauli if they ever think kwamba life ni Paradox. Hapo nyuma kidogo kuna yule jamaa ambaye nahisi kibarua chake kimeota nyasi...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Mwenyekiti wa CUF taifa Prof Lipumba amemkana mbunge wake Juma Haji Kombo kuwa kauli aliyoitoa bungeni aliposimama kutoa taarifa kwa Spika kuwa wao wabunge wa CUF wamejitoa katika kambi rasmi...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Cabinet minister Najib Balala and nominated MP Amina Abdalla on Friday reacted to a United Nations report naming them among Kenyans whose donations had been funnelled to the Somali terrorist group...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
- According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma! Willie @ NYC, USA.
12 Reactions
145 Replies
15K Views
Unasema ""tatizo watu wanachukua maneno ambayo hayajatolewa ufafanuzi"" ilikuwaje wewe ukaongelea suala la mshahara wa Dr. Slaa, na barua ya kuhimiza maandamano, mambo ambayo hayakutolewa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
KAULI za kuendelea na maandamamo mpaka kieleweke ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya viongozi wa Chadema zinaonekana kuikera Serikali na sasa inakusudia kuifanyia marekebisho sheria husika ili...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Wadau ni kwa muda sasa sijawasikia hawa wa heshimiwa wala kuwaona bungeni. Mwenye taarifa naomba anijuze.
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Serikali yalalamikiwa matumizi mabaya ya fedha juu ya fidia za majengo yaliobomolewa, inasemekana baadhi wamelipwa mbaka bill 3
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taarifa kutoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinasema tayari chama hicho kimepanga kumuita Rostam katika mkutano wa Kamati Kuu (CC) uliopangwa kufanyika 30 Julai 2011 kwa lengo la...
1 Reactions
256 Replies
27K Views
Na Maggid Mjengwa, PTOLEMY, mwanafalsafa wa Kiyunani alipata kuandika: ”Ex Africa simper aliquid novi". Maana yake: "Kila kukicha kitazuka kioja kingine Afrika." Naandika makala haya nikiwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kipindi Makinda kawaachia kigoda vinyozi mbadala imedhihirika kweli hana wasaidizi isipokuwa Mh. Simbachawene. Wadau mwalionaje hili.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani eeh- hii nimepata kali sana. Kuna habari zinasema kwamba lipo pendekezo katika kamati kuu za CCM, yaani NEC na CC yake kwamba Maalim Seif awe anahudhuria baadhi ya vikao hivyo kama observer...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa maoni yangu naona haikuwa sahihi kumpambanisha Mnadhimu Mkuu wa Chadema Bungeni Tundu Lissu na Naibu Spika, Job Ndugai kwani nafasi zao hazilingani. Ilitakiwa Lissu angepambanishwa na...
8 Reactions
50 Replies
5K Views
Mara nyingi tumewasikia wabunge toka CCM na viongozi wa serikali kuwa wananchi wataamua kuhusu tabia ya wabunge toka CDM. Sielewi vizuri maamuzi gani yanatarajiwa na wana CCM, ya wananchi...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=33203
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Nilimsikia Nape akiwaahidi wandishi kuwaita leo saa tano. Tupeni kilichojiri wadau. Tunataka kujua kama yai limepasuliwa na kijiko au mwiko
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Back
Top Bottom