Hivi wanachofanya wabunge wa CHADEMA ni haki kweli!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi wanachofanya wabunge wa CHADEMA ni haki kweli!?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nchagwa Chacha, Jul 29, 2011.

 1. Nchagwa Chacha

  Nchagwa Chacha Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasikitishwa sana na tabia wanazoonyesha wabunge wa chadema ya utovu wa nidhamu kuongea wakati spika hajaruhusu, kupiga makofi pasipo sababu, kuongea kwenye mic wakati umekaa. Mmetumwa na wananchi kwenda kuwakilisha majimbo yenu sina tutafuta majina. Watu wazima lakini Ovyoooooooooooooooooooo tena kamaTundu Lisu ndo nothing.
   
 2. S

  Songasonga Senior Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Let's focus the future taratibu watajifunza jinsi ya kuongea kwa mpangilio
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Poleni mliotegemea tofauti na haya kutoka kwa Lema.
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Na watu kama Mbowe ni viongozi wa namna gani? maana sijawahi kumuona akishiriki kwenye huu upuuzi lakini pia sielewi kama mwenyekiti anashindwa vipi kuwaongoza hawa wanaokosea?
   
 5. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kaka vipi, unatumia jina la Dada yako? Hajambo Nchagwa pale Nyambari Nyanngwine Bookshop mataa wa Tandamti na Ukami?
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  Tuambie wewe ungeongea nini.
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mbona sisiem wakizomea au kuropoka hamsemi wao ndo walianzisha siku ile Chadema walipotoka ndani ya bunge siku Vasco DG anahutubia, hamkuropoka nyieeeee?? Yule aliyesema mkalipe madeni mbona hamkumsema, hii nchi si yenu VIJIMWISI nyieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 8. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,497
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Wewe unalaumu matokeo na si chanzo. Chanzo ilikuwa ni muda mwingi ambao spika alimpa waziri kuomba mwongozo. Altumia zaidi ya dakika saba akijibu hoja za upinzani wakati alitumia kanuni ya kuomba mwongozo, Hapo ndipo cdm walipoomba mwongozo wa sababu za spika kumpa muda wote huo.
  Spika kwa kuona ameshakosea na hawezi kuomba radhi akaona atumie rungu lake kuwatoa nje - ni kama vile baba kurudi nyumbani amechelewa akitoka kwa hawara, mkewe akigomba anamchapa kibao ili anyamaze. Si kwamba mke anakuwa na makosa, ila ni baba kutaka kuficha makosa yake.
  Ndicho kilichotokea jana.
  Kanuni zinapaswa kuapply kwa wote
   
 9. Nchagwa Chacha

  Nchagwa Chacha Member

  #9
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa sikatai spika was wrong na hakutenda haki lkn kwanini wapige kelele makofi wanaongea bila mpangilio wanaharibu utaratibu wa Bunge!
   
 10. A

  AZIMIO Senior Member

  #10
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sina uahakika uliandika kama unafuatilia bunge kwa makini?au la unafuatilia kwa ushabiki.
  kwa kifupi karibu wabunge wote wamekosa mvuto bungeni na ndio maana bunge la sasa linaitwa THE COMEDY ikiwa na maana hamna ya muhimu yanayozungumzwa.sijui kama umewahi kufatilia kwa upande wa wabunge wa chama tawala wakiongea hakuna mpinzani ukiingilia kati kwa kuomba mwongozo inakuwa shida ila mpinzani akiongea na mbunge wa chama tawala akiingilia kati kwa kuomba mwongozo hakuna shida.Ndio maana wabunge wa upinzani lazima walalamike kuwa wanaonewa na ni haki yao kulalamika sababu unaonekana waziwazi hata kwa sisi watazamaji.
  Tubadilike hata kama tumeagizwa hivyo na chama kuwaminya wapinzani.
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Wabunge wa CDM wa kipindi hiki ni wingi wa Inzi tu, nakumbuka bunge la kipindi cha Dr Slaa, CDM walikuwa na wabunge wachache lakini wenye vision ya hali ya juu!

  Hawa wa sasa ni Wahuni hawana nidhamu hata kidogo kama Lema na Lissu ni watu wa violence kila sehemu
   
 12. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  MIMI NI MWANAMAGEUZI WA KWELI...HAYA NI MAPAMBANO MAPYA KWANI WATANZANIA HAMKUZOEA.MAPAMBANO YA KWELI HAYAJI KIULAINIIII mkitegemea ushindi wa karibu popote kimabadiliko itakuwa ni ngumu.Sasa hata kama iwe je, ni lazima kuoenewa na mwenye mpini ili lake liende.Sasa sioni kama wapinzani ni wajinga na vichaa kwa namna yeyote ile.ACHA WAFANYE WAFANYAVYO...WE NEED CHANGES BY FORCE
   
 13. Nchagwa Chacha

  Nchagwa Chacha Member

  #13
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Changes wont come kwa kubishana na spika my dia kumisbehave mbele ya Tanzania Nzima hayo si mapinduzi ya kweli.
   
 14. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,825
  Trophy Points: 280
  Tatizo lako wewe umezoea ukondoo wa watanzania. Sasa wamekuja watu ambao wanatetea haki na usawa bungeni unaona hawafai. Ukondoo wa kijinga. Utumwa wa ujamaa bado umekukandamiza brain
   
 15. Nchagwa Chacha

  Nchagwa Chacha Member

  #15
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeona eeh alafu wanajiita wanamapinduzi mapinduzi gani unaropoka ropoka bila utaratibu. Bora hata Lema Lissu ndo Kiazi cha mbeya
   
 16. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kumbe wale wanaopiga sana kelele na kugonga mabenchi na leo wengine wameambiwa na Jaji Werema wapunguze makofi ni CHADEMA?
  Kumbe CHADEMA ni wengi sana Bungeni na ndio waliokua wanamshangilia sana Sita siku aliposema wapinzani ni wanafki
  Kumbe CHADEMA ndio wale wanaopenda kupaza sauti za kuwazomea wale wale wananyimwa nafasi ya kutoa Taarifa na Miongozo?
  Kumbe hili ni bunge la CHADEMA..... Loh, kweli CHADEMA (kama kweli ndio hao niliowataja) wanakosea sasa.
   
 17. Nchagwa Chacha

  Nchagwa Chacha Member

  #17
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Me siwezi kusema niko side ya ccm or cdm cause sina chama na wanaweza kuwa ccm ndo walikuwa wanapiga kelele fine lkn the thing is kwann wabishane na spika unaambiwa kaa china unagoma, unaongea umekaa huku mic imewaka tabia gani hizo wananchi wanafurahia tu
   
 18. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  AAa NILIKUWA CJUI KUNA KITU KINAITWA MWONGOZO WA SPIKA. THROUGH WABUNGE WA CDM NIMEJUA. KEEP IT UP GUYS.
   
 19. Wabogojo

  Wabogojo JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kinachoniuma mie haye ni pale inapobainika kuwa wawakilishi wetu wengi wako pale mjengoni kwa kulinda na kutetea itikadi za vyama na si maslahi ya watanzania maskini (hata kilanja wa bunge!?), na ndiyo maana leo hii tukitimiza miaka 50 ya uhuru hali kwa wengi wetu ni afdhali ya jana. Serikali inahonga wabunge ili bajeti zipite! Eti na wenye moyo wa uzalendo wakae kimya, hili hapana. Hili linatukatisha tamaa na imani kwa watawala wetu.

  Acha vijana walonge kwa kutetea haki sawa wa wtz.
   
 20. Nchagwa Chacha

  Nchagwa Chacha Member

  #20
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hamna aliekataa lkn wafate utaratibu sio kukurupuka tu kuanza kupiga kelele
   
Loading...