Umaarufu wa wabunge wa CHADEMA wapaa maradufu mitaani

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
8,396
7,967
Stori za jana kutwa nzima sehemu mbalimbali Tanzania zilihusu Wenje, Tundu Lisu, Mch Msigwa na Kamanda Lema....

Kila kona, kila kijiwe walitajwa wana CDM na wabunge wao...

Sehemu kubwa ya wazungumzaji waliipongeza CDM. Mzee mmoja pale Magu - Mwanza alisema hivi '' Heri mbunge wangu atolewe bungeni kwa kutetea nchi yake kuliko mbuge wako anayelala bungeni kama Wassira au anayesinzia na kutoa udenda bungeni kama Mrema huku akisubiri kikao kiishe apokee posho ya 70,000''...
Kumbe hii move itawaweka pazuri sana hawa makamanda katika mchakato wa 2015, wananchi watawapa sympathy votes...
 
Kweli kabisa umaarufu unazidi kupaa kwa uhuni wao! Kuna nini cha maana wamefanya! Bunge makini lilikuwa la kina Dr Slaa, wanapambana kwa hoja ili la wavuta bange sio bunge
 
Inasikitisha sana CCM wanaposhindwa kulitambua hili. Walitakiwa kujifunza toka sakata la Zitto la Karamagi. Tofauti na wanavyofikiri kuwa wanaibomoa CDM, wanasaidia kuiweka mioyoni mwa wananchi wengi.
 
Kweli kabisa umaarufu unazidi kupaa kwa uhuni wao! Kuna nini cha maana wamefanya! Bunge makini lilikuwa la kina Dr Slaa, wanapambana kwa hoja ili la wavuta bange sio bunge

Kumbuka kipindi kile kilikuwa na spika makini anayetumia uelewa wake na sio maelekezo.
 
kweli kabisa umaarufu unazidi kupaa kwa uhuni wao! Kuna nini cha maana wamefanya! Bunge makini lilikuwa la kina dr slaa, wanapambana kwa hoja ili la wavuta bange sio bunge


wewe ni k.m., but sishangai inawezekana na akili yako inafanana na hiyo avator yako
 
Umaarufu juu lazima maana alichosema ni ukweli kabisa, Na kama ni uongo si wakatae.

Hata baba yako nyumbani ukimsema ukweli anakasirika, Lukuvi kawa mjibu hoja badala ya kuuliza.
 
Spika anatakiwa kuwa problem solver. Atumalizie viporo vya Waziri mkuu kudanganya, mwongozo wa Mh Zitto na wa Mch Msigwa. Hapo ndio tutasema wahuni ni wabunge wa CDM na sio Cabinet nzima ya spika na magamba yao wahuni. Mzazi kama hautatui matatizo ya mabinti zako wataishia kubeba mimba tu. Ndio inayowakuta wana magamba saizi, mimba tu
 
uzuri ni kwamba wabunge wa chadema hawafanyi hivyo kwa kutafuta umaarufu bali wanafanya hivyo kusimamia maslahi ya wananchi na taifa kwa ujumla. Keep it up guys
 
yan nafurahisha sana kuona nwdayz tunapata vichwa ambavyo vimejitoa kwa ajili ya maslahi ya sis wananchi wao miaka yote tulikuwa hatujui uwozo wa ccm..THANKS CDM!tutafika tu mbona tulikuwa hatujui hata kama kuna muongozo nw tumejua..tulikuwa tunajua hoja imepita basi mmmh!peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz power
 
Kweli kabisa umaarufu unazidi kupaa kwa uhuni wao! Kuna nini cha maana wamefanya! Bunge makini lilikuwa la kina Dr Slaa, wanapambana kwa hoja ili la wavuta bange sio bunge
<br />
<br />
A loser and hate preacher wa jf
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Kwa utafiti wa Synovate? Umaarufu unapaa kwa hoja sio kutolewa nje
<br />
<br />
Una hakika mkuu?! Wakitolewa nje wamepaishwa wakiachwa wana hoja unazozitaka so watapaa tu.. Nenda usome hotuba ya Lema halafu utuonyeshe wapi hakuna hoja za ukweli ktk hotuba hiyo. Halafu ukimaliza tuwekee hapa hoja yoyote ya magamba kama wanayo!! Na kumbuka, wapinzani wote ni maarufu hawana haja ya kuutafuta tena. Popote ulipo bongo waulize watu mfano lukuvi au ndugai ni nani, na Lissu au Wenje au Lema,Msigwa, Mnyika au yeyote yule toka upinzani ni nani utashangaa mwenyewe.
 
Kweli kabisa umaarufu unazidi kupaa kwa uhuni wao! Kuna nini cha maana wamefanya! Bunge makini lilikuwa la kina Dr Slaa, wanapambana kwa hoja ili la wavuta bange sio bunge

na ndicho wananchi tunapenda kuliko ustarabu unaopumbaza na kutoa matumaini hewa!!!!!!!
 
Napenda sana CCM na chama chao wafe taratibu sana huwezi kuwa na akili nzuri sana na kuipenda CCM na matatizo haya lazima uwe umeanzimisha akili yako ndio unaweza kuipenda maana ni hatari sana kuwa na wabunge wanafiki kama wa chama cha mapinduzi
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom