Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama kilichoishiwa fikra kina dalili za KUFA. Mpaka uwezo wa fikra wa vijana wao nao umefika kikomo, KIFO chake ki karibu sana. Imebaki ni "copy and paste" tu. Wali "copy and paste" kutumia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jioni hii Simbachawene ametamka bungeni kuwa hakuna Rais mwema kama Kikwete, Rais ambaye anatukanwa kila mahali anakuwa kimya tu bila kuchukua hatua yoyote. Mimi sikumpigia Mh. Kikwete kura...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
Na Saed Kubenea - Imechapwa 27 July 2011 RAIS Jakaya Kikwete sasa anapanga kumuangukia aliyekuwa Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, MwanaHALISI limeelezwa. Taarifa kutoka ndani ya Chama Cha...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Maumivu ya mgao wa umeme yataendelea mpaka mwaka 2013 ambapo kampuni za Pan African Energy na Songas zitakapokuwa zimewekeza kwenye miundombinu ya kuzalisha na kusafirisha gesi ya ziada mpaka Dar...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Kitendo cha kumsuta mbunge wa CCM ndugu Deo nje ya bunge, kwakweli sijui kinatufahamisha nini kuhusu waheshimiwa wabunge wetu. Kwa ujumla haionekani kua ni professional bali ni sawa na...
0 Reactions
76 Replies
7K Views
Je wananchi wa kwenye majimbo ambayo wabunge wake wanatolewa nje ya bunge wakigoma kulipa kodi kutakuwa na kosa? wamemtuma mwakilishi wao ili asimamie kodi yao, leo bunge linaamua kumuondoa...
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Waandishi Wetu Dodoma 27 Jul 2011 Toleo na 196 Jumuiya za chama zahusishwa UVCCM watofautiana mkutanoni Baadhi wakejeliwa kujipendekeza kwa JK MTANDAO wa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hizo wiki mbili pia utwambie ni nani mmiliki wa mgodi wa Buhemba maana uliomba muda na ukapewa wa kutosha. Posted Date: 5/26/2008 Na Jackson Odoyo Mwananchi SIKU moja baada ya kuagizwa...
0 Reactions
157 Replies
16K Views
Jaji werema anachangia hoja ya wizara ya mambo ya ndani. Anachofanya ni kuzungumzia hotuba ya mhe g lema aliyoitoa jana. Je amegeuka kuwa waziri wa mambo ya ndani? Yupo live anaongea sasa.
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Jamaa anamaliza wiki sasa bado yupo Mtwara, kulikoni? manake tuseme angekuwa anacheki hali halisi ya gas na oil ili awalete wawekezaji tungeelewa lakini anatemebelea sehemu na vijiji vyote vya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
on the final make up of the subjected article; Intending to showcase administrative decisive gape which posses an obvious output of Mheshimiwa Lowassa. Mnyonge mnyongeni..........Comming soon!<br>
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, nawasalimu na kuwapongeza kwa kujadili mada na sio kujadili watu! Napenda kutoa masikitiko yangu makubwa kwa wizara yetu ya ardhi, masikitiko yangu yanalenga hasa katika zoezi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kundya ataka Nape,wenzake wapigwe 'stop' KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mwanza,Rajabu Kundya, amesema ziara zinazofanywa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho Nape Nnauye na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
namnukuu MARTIN LUTHER:A man who won't die for something is not fit to live. Serikali ya ccm inapaswa kujua hatukuingia upinzania wala kuunda vyama vya upinzani ili kuisifia au kuipongeza bali...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Taarifa za uhakika kabisa toka chanzo cha kuaminika ndani ya uongozi wa chadema jimbo la ukonga zinasema kwamba Bw. Mikael P. Aweda ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema jimbo la ubungo...
1 Reactions
76 Replies
6K Views
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
3 Reactions
81 Replies
7K Views
Mheshimiwa raisi wangu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, nasikitika kukwambia kwa unyenyekevu mkubwa sana ukiambatana na heshima kubwa sana haswa nikitambua wewe ni raisi wangu na mbali na hilo...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
ukifuatilia kwa makin utaona toka bunge linaanza leo tareh 28 july 2011 utagundua kuwa Mh. Ndugai (naibu speaker) alikuwa amejpanga kuwatoa wabunge wa CDM kwan toka anaanza alikuwa akcctza kanun...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Hapa tz kumekuwa na tabia ya chama kikongwe kujaribu kuwachafua vyama mbadala kwa njia mbali mbali, moja wapo ikiwa ni magazeti iwe ya serikali au binafsi, kwa kununua waandishi wa habari nk nk...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom