Mzindakaya: Bunge losing direction
Sunday, 31 July 2011
The Citizen Reporter
MPs should strive to strengthen national unity irrespectuve of political leanings, longtime CCM member Chrisant...
katika hali inayoonesha kufilisika kisiasa na kutumika na chama cha mapinduzi, bwana mdogo James Mbatia amesikika akikosoa kwa mtindo wa mafumbo waheshimiwa wabunge wanaoichagiza serikali huku...
Nilishindwa kuamini jinsi msanii bushoke alipozomewa na kuonyeshwa ishara za kuwa atoke jukwaani baada ya kutoa pongezi kwa Kikwete.
Jamaa alipaniki mpaka akasahau hata kuchukua tuzo...
Friday, 29 July 2011
NA KULWA MAGWA, DODOMA
KWA mara ya pili katika kipindi cha siku mbili, wabunge wa CHADEMA wameendelea kulikosea heshima Bunge, ambapo watatu walitimuliwa ndani ya ukumbi...
Nakumbuka! Nyerere alipofariki,.. Wa2 wengi walibubujikw na machoz! Na huzuni ulitawala kila pande! Hi inatokana na matendo yake kwenye jamii. Sasa sijui kwa marais we2 hawa,.. Je? Wataliliwaje...
Rites yatengewa Sh. 31 bilioni
Na Alfred Lucas - Imechapwa 27 July 2011
SERIKALI italipa wawekezaji wa Rites ya India mabilioni ya shilingi kwa kuvunja mkataba waliosaini Oktoba...
Nime sikia juujuu kuwa kuna barua imeokotwa huko Bungeni leo hii,, Sasa kwa yeyote mwenye info za kutosha anaweza kutujuza nini kilicho andikwa kwenye Barua hiyo na nani muhusika wa barua hiyo...
Kuna uwezekano mkubwa muda si mrefu ujao tutatangaziwa rasmi upatikanaji wa mafuta ya kiasi cha kutosha tu kuweza kufanya biashara ya kimataifa. Labda kuanzia kwenye Ziwa Tanganyika na hadi maeneo...
..jamani hivi huu si mzigo mzito sana kuwatwisha wananchi wa Zanzibar?
..halafu baadhi ya wanaonufaika na ubadhirifu huu tayari wanatambulika kama viongozi, au wastaafu, katika serikali ya...
Nimekuwa na masikitiko makubwa kutokana na nguvu ndogo ambayo chama cha maendeleo na demokrasia chadema wamewekeza katika mkoa Mtwara. Napenda ifahamike kuwa Mtwara ni miongoni mwa mikoa ambayo...
I note that there are investors who want us to give them large tracts of land so that they can grow sugar cane. They would like to produce ethanol for use as engine fuel. I have seen, in our...
Akizumgumza na waandishi wa habari jana mara baada ya kurejesha fomu hizo katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Katibu wa Baraza la Wadhamini wa CHADEMA, Antony Komu, alisema fedha...
Nimepata taarifa ya kuwa meya wa manispaa ya Songea na diwani wa kata ya Rizabon CCM kafa. Ila nimeshangaa jinsi watu walivyofurahia kwa kuwa kutakuwa na uchaguzi mdogo..
Mdahalo wa katiba uliofanyika ubungo plaza jana umekuwa tofauti na midahalo ya hapo kabla ile iliyotawaliwa na hisia za vyama vya siasa, kipindi kile hakuna kilichofanikiwa zaidi ya watu kuzomeana...
Wanajamvi:
Nimeonelea ni vyema mkasoma makala hii iliyotoka katika gazeti la The African la leo na nafikiri ni mojawapo ya makala nzuri za mwandishi Hilal Sued.
Namkumbuka mwandishi huyu tangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.