Nape mbona kimya, kulikoni?

Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,988
4,507
Ile nguvu ya Nape aliyoanza nayo mara baada ya kuchaguliwa kuwa katibu mwenezi wa CCM inazidi kufifia siku hadi siku, tuliambiwa atakapomaliza kufanya maandamano na mikutano mkoa wa Kilimanjaro atahamishia majeshi yake mkoa wa Arusha nashangaa hadi leo sijasikia kama yuko Arusha ama la mwenye taarifa yake tafadhali.
 
Jamani Beh!
Nape Akiongea Shida Akinyamaza Shida!
Kweli kupata tonge kwa njia ya Siasa kazi!
 
Mbona wiki iliyopita nilisikia alikuwa hapo Kilimanjaro? Na kulikuwa na tetesi ya kwmb ata2au Arusha mjini? Na baada ya hapo ata2a kwa EL hapo Monduli. Mwenye tetesi atujuze alipo.
 
Mbona wiki iliyopita nilisikia alikuwa hapo Kilimanjaro? Na kulikuwa na tetesi ya kwmb ata2au Arusha mjini? Na baada ya hapo ata2a kwa EL hapo Monduli. Mwenye tetesi atujuze alipo.
<br /> <br / sijamwona Moshi lbd alienda vijijini,we hujui kelele zake zilikua kwa mapacha 3, RA kajiengua, CHENGE kasema hajiuzulu hadi Lowasa ajiuzulu na lowasa kasema hajiuzulu hadi wamfukuze na na na anamwogopa lowasa ile mbaya, hathubutu kumwambia kitu chochote, bosi wake anamlamba miguu RA kuomba msamaha na kuomba amsaidie kampeni ingunga. ATAONGEA NINI??
 
Ile nguvu ya Nape aliyoanza nayo mara baada ya kuchaguliwa kuwa katibu mwenezi wa CCM inazidi kufifia siku hadi siku, tuliambiwa atakapomaliza kufanya maandamano na mikutano mkoa wa Kilimanjaro atahamishia majeshi yake mkoa wa Arusha nashangaa hadi leo sijasikia kama yuko Arusha ama la mwenye taarifa yake tafadhali.

watu walijua itakuwa moto wa mabua, hata jk amesurrender, alishawahi kusema mafisadi hawashikiki
 
Tangu niliposikia anaelekea Kilimanjaro/Moshy, sijasikia tena toka kwake. Labda walimpa ububu baada ya kuropoka upupu!
 
Huenda Mh. Lowasa kashemkatia chake kamwambia wewe kijana shida yako nini chukua fedha hizi sasa anza kunitangaza mimi. Msicheze na Lowasa jamani kj mwenyewe anamgwaya mmasai yule
 
Ile nguvu ya Nape aliyoanza nayo mara baada ya kuchaguliwa kuwa katibu mwenezi wa CCM inazidi kufifia siku hadi siku, tuliambiwa atakapomaliza kufanya maandamano na mikutano mkoa wa Kilimanjaro atahamishia majeshi yake mkoa wa Arusha nashangaa hadi leo sijasikia kama yuko Arusha ama la mwenye taarifa yake tafadhali.
Kuna tetesi kwamba magamba wamegundua nape anaendelea kuimarisha u CCJ kwa mgongo wa ccm kama alivyo onekana na timu nzima huko mbeya,hence amepigwa stop!-Wenye chama chao wa bishe(MAGAMBAZ!)
 
Aliona hali mbaya ya watu kuwa hawatoshi pale Kilimanjaro thats why akaamua kuahilisha kwenda Arusha, sasa kama
Arusha ameshindwa kwenda je ataweza Mwanza!!????????
 
mimi nilishasema mwanzoni kuwa sijui nape ataongeya nn kanda ya kaskasini ?mfano monduli kwa sababu akienda monduli tu halafu ajaribu kuongeya upupu ataondoka na kilio na pia na hana ubavu wa kumfukuza lowassa ccm nyie hamoni kuwa rostam kajiuluzu kwani wanawezesha kumtishia kuhusu suala la uraia je lowassa watamwambiya nn?
 
Hivi hapa bila kumtaja nape watu hawaridhiki?
Mzee wa ratiba za Nape vipi tena leo hutaki atajwe wakati wewe ndiye mleta ratiba zake check hapa chini....vipi January ulisema leo atakuwa Igunga amefanikisha.
Habar nilizo nazo katika mkutano WA Kesho mjini MBEYA vuvuzela WA CCM Nape Nnauye atakuwepo pia. Mhhh hii timu ya Nape,Sita, Mwakyembe,Olesendeka,Mama Kilango nasikia na Nyalando imekaaje?kilikoni MBEYA !????
Habari ZA uhakika, BAADA ya kufanikiwa MBEYA Yule vuvuzela WA CCM kutua Arusha JUMAMOSI wataandamana na kuhutubia mkutano WA hadhara stendi KUU Arusha.
Habari KUTOKA ndani ya CCM na vikao vyake zinasema Bw. January Makamba kutua Igunga KUJARIBU kushawishi vijana kukisaidia Chama Cha Magamba. Je January atamudu vishindo vya Makamanda?
 
Kimya cha nape kilikuwa na sababu, wiki jana alikuwa anamalizia mitihani yake ya masterz mzumbe hongera kwa kumaliza mitihani nape
 
Nape mzee wa taarabu aka mipasho ngoma ya watoto haikeshi,inaanza asubuhi inaisha jioni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom