Vijana mbalimbali kutoka asasi za vijana, shule za sekondari, wajariamali, vyuo vya elimu ya juu na vijana wa makundi mbalimbali wapo katika Mjadala wa Vijana na Mchakato wa Katiba Mpya hapa...
WAZIRI wa Nishati na Madini, Willium Ngeleja amesema ni ngumu kujiuzulu kwa kuwa tatizo la umeme si la wizara yake pekee na kuwafumba midomo wale wanaotaka ajiuzulu licha ya Bajeti yake kukataliwa...
Ndugu wana Jukwaa la katiba,
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimetualika wanajukwaa wote kushiriki mdahalo wa Katiba utakaofanyika Ubungo Plaza siku ya Jumamosi Tarehe 30/07/2011 saa 3-7...
tunaomba Dr.Slaa uje tena JF ajibu maswali ya moja kwa moja,
yapo mengi ya kukuuliza hasa kipindi hiki mfano:-
giza totoro na majibu mepesi ya rais na mawaziri,
bahasha la jairo.
kujivua gamba...
Tofauti kabisa na nchi nyingine Africa na hata duniani Wabunge wetu wamekuwa bado na mtazamo duni wa kuendesha siasa za kishabiki Bili kutazama Maslahi ya nchi. Ni mara nyingi tuneona viongozi wa...
Kwanza mtanisamehe kama nitakusea Kiswahili kidogo lakini nimejitahidi sana kuhakikisha kuwa si isahau Lugha Ya Nchi Yangu
Naandika Waraka huu nikiwa natulia kidogo kushika Tama, kama mtanzania...
Wana jf kutokana na uhalisia uliopo juu ya mahusiano ya CCM na CUF katika siasa napendekeza lipumba kuchukua nafasi ya Mkulo kwa manufaa ya taifa hili kama ifuatavyo
1.Ni mchumi aliyebobea...
Wadau wa JF, mimi binafsi nimepigwa na bumbuwazi baada ya kusikia watu wamezirai eti kisa ni kujiuzulu kwa Mh.Rostam Aziz,hebu naombeni mnisaidie hii maana yake nini???Najua Igunga kuna wana JF...
HOTUBA YA MHE. GODBLESS JONATHAN LEMA (MB), MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI WIZARA YA MAMBO YA NDANI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI KWA MWAKA WA FEDHA...
Wenje akichangia bungeni leo amesema afadhali alale Selo(Polisi) kuliko kukaa kimya huku nchi ikiliwa na wakubwa, Na kasema haoni kwanini traffic police akomaliwe kwa Tshs 20,000 wakati wakubwa...
Ukienda siku za wkend club 84 iliyoko Dodoma kipindi cha bunge ni nadra sana kumkosa waziri ngeleja. Lkn kibaya zaidi ni kipindi hiki ambacho nchi iko kwenye crisis ya umeme waziri huyu bado ana...
I have keenly followed the debates in the house, among other things, the question on union between Tanganyika and Zanzibar, both sovereign countries. While I despise those questioning the motives...
Gire akitoka makamani leo
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mjini Dar es Salaam, imemwachia huru Naeem Gire aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya kughushi na kuwadanganya serikali kuwa mitambo ya...
Ukisikiliza kipindi cha habari an matokeo cha redio uhuru.redio ya CCM utahisi kuna kitu kimejificha.
Kwa mfano. Leo katika kipindi chao cha bungeni. Wametoa sauti ya mbunge wa Jimbo la zamani...
Ndugu zangu,
Katika miezi ya karibuni, nchi yetu Tanzania, katika hali isiyo ya kawaidia kwenye media ya nchi za Magharibi, mara kadhaa imezungumzwa katika sura chanya kwenye vyombo vya...
Serikali kupitia Mwanasheria Mkuu na Naibu Spika imezungumzia wasiwasi wake khs maandamano yanayosisitizwa na Wabunge wa Chadema wakati wa Uchangiaji wa Hoja ya Waziri wa Mambo ya Ndani.
Wabunge...
kuna tabia ya baadhi ya wabunge hasa toka CCM wana tabia ya kulala wakati session ya ikiendelea. Wanaudhi sana, wamebadilisha viti kuwa vitanda.
Naomba mwongozo wenu kwa hawa waheshimiwa.
Napeda kuishauri CCM bure bila malipo, ili msijepigwa mawe tena na watanzania kama sio watanganyika (sio KANGE wala MWANJELWA au TUNDUMA peke yake bali hata Msoga) zingatia haya;-
1. Fukuzeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.