Jaman hali hii Bungeni!!....... enough is enough!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaman hali hii Bungeni!!....... enough is enough!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAMBOTA, Jul 29, 2011.

 1. K

  KAMBOTA Senior Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  [​IMG]Na Nova Kambota,

  Nasema wazi Anne Makinda hana la kujivunia na pengine hata wanahistoria hawana la kuandika juu ya mwanasiasa huyo ambaye ni dhahiri sasa nyota yake inazidi kufifia kila sekunde.

  Yanayoendelea na yatakayoendelea kutoka Bungeni ni ushahidi wa wazi wa udhaifu wa spika Makinda, Job Ndugai, Jenista Mhagama na Simbachamwene ambao kwa nyakati tofauti wameonyesha dhahiri kuwa sasa wameshindwa kazi.
  Sitaki kuibua malumbano yasiyo na tija bali nataka niweke wazi kuwa tatizo si wapinzani bali udhaifu wa Makinda na wasaidizi wake.
  Ni mwehu gani leo hii hakumbuki mikiki ya Dr Slaa wakati wa spika Sitta? je yalitokea haya tunayoyaona sasa? je nikisema Sitta “KAMFUNIKA” Makinda nitakuwa naongopa? NARUDIA TENA tatizo ni Makinda na wasaidizi wake!

  Tangu awali wenye kuona mbali walitoa angalizo kuwa spika aliyechaguliwa kwa kigezo cha jinsia “HAFAI” na leo hii wote tu mashahidi kuwa sasa “MAKINDA ANAWABEBA WALIOMBEBA” amelivuruga Bunge na kweli limevuruga .
  Kawafanya wapinzani kuwa na roho ya “KUPAMBANA” dhidi yake na wasaidizi wake na kwa bahati mbaya hana uwezo wa kulitatua hili si yeye wala “wasaidizi wake”

  Watanzania hawapaswi kushangaa “eti wabunge wanataka kupigana” nini cha ajabu? au Deo Filikunjombe kutaka “kupigwa makofi?” lipi la ajabu? Lema, Msigwa na Lissu kutolewa nje ya Bunge? nini cha ajabu? pendekezo la wabunge kupimwa akili? haya yote hayana budi kutokea, hebu jaribu kufikiria haya yasipotokea watanzania mtaamini vipi kuwa “HII NI NCHI LEGELEGE?”

  Nova Kambota Mwanaharakati,
  +255717 709618
  novakambota@gmail.com
  www.novakambota.com
  Tanzania, East Africa
  Ijumaa, Julai 29, 2011.
   
 2. kakomya

  kakomya Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni "mission order" ya kuwadhibiti wapinzani waliyopewa hawa mavuvuzela wa CCM. Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa. Asanteni wapinzani, mmetuzindua kwamba haatuna Bunge isipokuwa jopo la wezi na matapeli lililoweka mfumo wa kujitetea kwenye mjengo. salamu zao watazipata 2015. Nadhani hili ni Bunge la ovyo kabisa tangu tupete Uhuru. CCM mnatupekela wapi?
  Death to CCM!
   
 3. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hawawezi dhibiti maana ni haki. haki haiwezi dhibitiwa kwa njia hiyo itaendelea kuonekana tu na kwenda mbele ndio maana ccm inahaha kuhadaa umma lakini haki huwezi kuizuia bali wanaichelewesha tu ipo siku kila kitu kitakuwa peupe ndio utaona hao wanaojiona wako ahela ya dunia hapa wanavyo toa macho na pengine kufa kwa pressure au kama mbaraka anavyo kataa kula. time it will tell us what to do is a matter of wait.
   
 4. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Dawa ni kuji-sacrifice kwa maisha bora ya wengine na future generations as Jesus did for us to enter Heaven!
   
 5. K

  Kingofkinzudi Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kinachofanyika sasa ni kampeni tosha kwa Chadema 2015. Kwa sasa wabunge wanaotetea kwa uchungu ni chadema tu. CCM hakuna mbunge anayetetea hoja kwa nguvu.
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Pinda & jk at work
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Tanzania iz no more
   
 8. e

  erneus kyambo Member

  #8
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sikio la kufa halisikii dawa ndugu yangu, chama cha magamba(ccm) kinaelekea kaburini hivyo hakuna dawa yoyote ya kukinusuru kwa sasa, wakifika 2015 sijui!
   
 9. F

  FUSO JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,857
  Likes Received: 2,333
  Trophy Points: 280
  Pamoja na mapungufu yake mengine aliyonayo lakini sasa naamini kwamba Spika Sitta alikuwa na viwango. Hawa kina Ndugai na dada yake wanaimaliza CCM bila wao kujua.

  Ukweli utabakia kuwa ukweli - Mtanzania gani asiyejua police waliuwa watu Tarime na Arusha? sasa Lema akiyasema hayo eti anahatarisha uvunjivu wa amani?

  watu wanaandamana kulaani jambo lao linalowakera kwa amani - wewe unaamuru risasi za moto zitumike kutoa uhai wa baadhi yao - then unarudi bungeni kudanganya umma kwamba Tanzania inafuata utawala wa sheria. Mbona hatujaona hata askari mmoja akishitakiwa kwa mauaji hayo?
   
 10. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wewe mwenyewe ni tatizo humu JF kwa kuleta thread zisizo kuwa na mantiki yoyote na zenye ushabiki, jivue gamba la ubongo wako
   
 11. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #11
  Jul 29, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hivi na wewe unajiita genius brain! Ambacho hakina mantikii hapo nini? Hao wenyeviti wa viako vya bunge wanaonesha upendeleo wa wazi, kwa nini wasiambiwe? Kama waziri aliomba muongozo kwa nini aanze kuchambua hotuba kama vile alikuwa amepewa muda wa kuhutubia? Kwanini wazuie kuendelea kusomwa kwa hotuba ya upinzani? Si wawaachie wananchi waisikilize hiyo hotuba na wao ndio wataona kama inawachochea au la. Au wao (magamba) wanadhani watanzania hawana uwezo wa kufikiri, kuchambua na kujua ukweli na uongo mpaka wawapangie cha kusikia na kutosikia? Nimeisoma hiyo hotuba yote, hakuna la uchochezi humo ila ukweli mtupu! Kwa nini magamba hawataki upinzani waseme ukweli? Ni mara ngapi tumeona wabunge wa magamba wanaongea bila kuruhusiwa na mwenyekiti na hawajawahi kutokewa nje?! Huyo Lukuvi amezidi kuzuia upinzani kufanya kazi yao bungeni! Anaogopa nini?
   
 12. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  nCHI INA VIONGOZI WE.HU
   
 13. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Tulitaka spika tukaletewa MAKINDA, na haya MAKINDA tuliyoletewa hayawezi kukua kimtazamo, kisiasa na hata ki-upeo wa kuona mbele.
   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,001
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Tz inatisha kwa kweli.
   
 15. M

  Mghaka JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  The kicks of a diying horse inflict pain but do not kill. Temporarily the decisions of leaders in parliament hurt Tanzanians and the would be well wishers of the justice society milestone where by a judgement is based on what you do and not on what are you or where do you belong.

  We see what opposition do in parliament, we see what the MPs from CCM behave in parliament, we are the ones to make judgement on their perfomance . Blindly their actions are focusing on short time win and selfishness protectionism.

  CDM MPs focus on winning the minds of Tanzanians by defending and protecting our country. I usually take trouble to move arround and pick out public opinion on issues from the 'big house' it is completely against CCM MPs. Why is that the public say 'it is for them to use the power of the chair to supress the opposition'. They win in parliament on trashes but they lose public support on strong issues. This is the same as covering your head with bednet and living the whole body uncovered.

  Just to reparaphrase what MP Lema said yersterday but this time using words of Abraham Lincolin who said that "Just by a mere numerical numbers you deprive the minority a clearly stated constitutional right, from a moral point of view revolution is justified" just take out the words 'numerical power' and put any of the following; power vested upon you, constitutional power, presidential power, etc you will just come to terms with language used by MP Lema. In fact Lema is not inciting but warning the power custodians to balance their leadership and manage their political biase at all time when they assume constitutional responsibilities.


  It is unfortunate and shame, therefore, that watching the parliamentary proceedings, the unpartriotism behaviour of some MPs is the memory and image i take away outside the parliament. CDM MPs i assure you the unwavering support from outside the house, you are the real heroes of this country today. They will harrass you, tourture and point hundreds of accusing fingers to you, but don't let them go, tighten the rope they are suvocating, they are in trouble, you are not alone, millions are behind you to provide pain killer whener the kick you hard. They fear you because they see you as a no nosence generation. Freedom is coming tomorrow.


  Aluta Continua
  Viva our MPs
   
 16. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  Them a-go tired to see we face
  Me say them can't get we out of the race;
  Oh, man, it's just a big disgrace.
  The way you draw bad cyard
  The way you make wrong moves
  The way you draw bad cyard
  A-make you draw bad cyard
  A-make you draw bad cyard -
   
 17. C

  Chumbageni Member

  #17
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kuwafukuza nje ya Bunge haisaidii...kunatakiwa kuwe na njia mbadala ya kuwa-control ili waendelee kuwakilisha wananchi wao ndani ya Bunge.
   
 18. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unayejiita Genius Brain ondoa chuki binafsi na Nova Kambota! article yake inaongelea ukweli wa mambo yanayojiri pale bungeni, sasa ulitakaje wewe? atetee maovu. Badili hilo jina la Genius Brain, maana haifanani na hoja yako dhidi ya Kambota.
   
 19. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mndamba/mpogoro wewe kwa hili nakubaliana nawe...jana nilitaraji jenista muhagama amuadabishe lusinde kwa kwa kuwakejeli watanzania kuwa wamewachagua wabunge punguani!!!!!! Yule jenista akaishia kucheka sanaaa mpaka amepitiliza, ni cheko la mtu asiyejua wajibu wake na anachokisimamialeo nimemuona ndugai akimruhusu lusinde tena leo akitukana watu pasipo kushughulika nae.... Mbaya zaidi mbunge anasimama kuomba muongozo anamtizama kwa jicho la dharau sana na kumita mchangiaji mwingine. Naamini hapa bungeni napo tunazalisha wanachama wapya wa cdm kwa jinsi tunavyohandle mambo yao.
   
 20. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Samweli Sitta aka "SS" Speed and Standard, huyu Ana Semimba Makinda aka "ASM" Alaumiwe Spika Makinda
   
Loading...