Waandishi Wetu
Wilson Mukama, Katibu Mkuu wa CCM
MKUTANO wa viongozi wa juu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) unaoendelea Dar es Salaam umekumbwa na jaribio la kufanya uasi dhidi ya baadhi ya...
Na Hellen Mwango
Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR-Mageuzi James Mbatia
Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR-Mageuzi James Mbatia ambaye anaishtaki Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) amedai mahakamani kwamba...
Wameutwaa urithi wetu wakagawana;
Urithi huo waliogawana wamemegeana vipande vipande na kurithishana wao na watoto wao! Urithi wa taifa letu umekuwa wa kwao peke yao na sisi wengine tumeachiwa...
Mwaka Jana TANROADS walikuwa wanadaiwa billion 300. Hazijalipwa.
Mwaka huu TANROADS wanadaiwa 475 billion za Barabara.
Sasa kwa nini Serikali ina kiherehere cha kulipa DOwans
MADAKTARI wa Hospitali ya Apollo India, wamefanikiwa kumfanyia operesheni Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe ambaye alipelekwa huko wiki iliyopita kutokana na kusumbuliwa na maradhi...
mOJA KWA MOJA NINAHISI Waandishi na Tv presenters karibu wote ni wadau wa CCM.mfano jana habari kuhusu CHADEMA saa 2 usiku ilikua kero kupita kiasi, no details on statments.Bora msiseme lolote...
Ni ajabu na inashangaza..,
Katika ziara ya Nape inayoendelea hivi sasa nchini marekani kumekuwa na matukio mbalimbali ambayo katika zama za sasa na upepo wa kisiasa ulivyo hasa ndani ya CCM ni...
Polisi Mkoa wa Arusha imefungua jalada ya uchunguzi dhidi ya kauli ya kuwaita panya wananchi na wanachama wa Chadema inayodaiwa kutolewa na Kamanda wa Polisi Wilaya ya Arusha (OCD), Zuberi...
Fujo hizi za wanasiasa zinatuhatarisha sote
Jenerali Ulimwengu
NIMEJARIBU kwa njia kadhaa kuonyesha ni kwa nini kizazi cha sasa cha watu wanaojiita wanasiasa hakina uwezo wa kumuenzi Baba...
TAARIFA KWA UMMA
TUKIO LA MHE GODBLESS LEMA (MB) KWENDA KWA RUMANDE KWA HIARI UJUMBE WA MSINGI WA KUZINGATIA.
01 NOVEMBA 2011
Ndugu wanahabari na Wananchi kwa ujumla,
CHADEMA mkoa wa Arusha...
Posted Date::10/8/2007
CCM kwafuka watishiana kupelekana mahakamani
Na Abdallah Nsabi, Maswa
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani hapa, Mkoa wa Shinyanga, Hasani...
Mbona alipokuwa huko hakusema haya yote mbele yao na kuwaelewesha hao wanzungu ,kaja huku ndio kuongea kwenye vyombo vya habari,hiyo ni siasi ya woga na juhudi za kujijengea jina na kujitafutia...
WanaJF kwa heshima na taadhima naomba tujadili juu ya tatizo la vurugu zinazolikabili jiji la Arusha kila mara. Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa vurugu katika jimbo hili la Arusha zilianza...
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye,
anaendelea kufanyiwa mazoezi ya bega kwenye
Taasisi ya Mifupa Muhimbi (Moi), baada ya
kufanyiwa upasuaji hivi karibuni ameitaka
Serikali kuisaidia...
Wadau ninakumbuka hotuba wa Mwalimu kuhusu nchi zisizo kusanya kodi, ambapo alitaja kuhusu ugiriki nk, na ukiangalia kwa makini nchi zinazo kabiliana na hatima hizo ni Spain Italia na Ureno bila...
Mwandishi Wetu
Majimbo ya kampuni ya Anglo Gold Tanzania
Wawekezaji wajifungulia kampuni za udalali
MIGODI ya dhahabu nchini imekuwa ikikwepa kulipa kodi kwa kutengeneza mikopo...
Nitaenda jela kwa hiari yangu binafsi wale mlionitisha kwenda jela sasa nimetangulia kwa hiari yangu, mliobaki msiogope jela, endeleeni kupigania ukombozi utakaoleta utu na heshima katika nchi yetu.
Jana katika hafla iliyoandaliwa na Mh JK ikulu magogoni Dar es salaam, ikiwa ni kuadhimisha miaka 48 ya kupata uhuru wa Tan....... spika wa bunge Bw Sita alisikika akisema kwa machungu kwamba...
Karibu idara na wizara zote za serikali mawasiliano ni dhaifu sana.
Idara na wizara hawajui TEKNOHAMA na kama wanajua hawaitumii na wala hawajui mafanikio yake.
Pia Idara Nyingi na Wizara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.