Upo umuhimu wa urais 2015 kumpa mwanamke kupunguza mwendo kasi huu..

Status
Not open for further replies.
Wanawake wa CCM nao ni 'mafisadi vicheche' tu, hakuna mwenye unafuu pale. Mimi naona afadhali tumpe EL kwasababu anaonekana amejirekebisha hasa kutokana na kauli zake za leo.
 
Nyerere alisema "Hatutamchagua mtu kwa dini yake wala hatutamkataa mtu kwa dini yake. Hatutamchagua mtu kwa kabila lake wala kumkataa kwa kabila lake". Nami naongezea: "Hatutamchagua mtu kwa jinsia yake wala hatutamkataa mtu kwa jinsia yake".
 
they can't handle it in 2015, hata hao unaofikiri wapo kimataifa (hawazidi wa 5, namely, Dr. A. Migiro, Prof A Tibaijuka,. . . .na wengine kama wa2,wa3) this country is in hot soup, maroroso mengi yanaitaji kurekebishwa
 
Aaaaaah! mwana -mke tena mkojolea nyuma amungoze nani tena wanawake wa chama chetu kwangu binafsi no labda akaongoze kuzim
 
Sasa naona waTz mnaanza kuishiwa hoja,urais hauna uhusiano na jinsia ya mtu.Wala hatuna uwezo wa kumpa urais mtu.yeyote anayetaka agombee.Kama CCM watajaribu kuwapitisha hao akina mama wajue watachezea kichapo cha mbwa mwizi.Sisi tutaweka mgombea bila kujali jinsia,wao waangalie hiyo jinsia
 
Nyerere alisema "Hatutamchagua mtu kwa dini yake wala hatutamkataa mtu kwa dini yake. Hatutamchagua mtu kwa kabila lake wala kumkataa kwa kabila lake". Nami naongezea: "Hatutamchagua mtu kwa jinsia yake wala hatutamkataa mtu kwa jinsia yake".

Kula tano mkuu!
 
Kama huyu ameenda akapewa suti,mwanamke ataenda kuchukua bikini,sasa unataka nch yetu iuzwe kwa bkn?hahaha,baadae sana
 
Nyerere alisema "Hatutamchagua mtu kwa dini yake wala hatutamkataa mtu kwa dini yake. Hatutamchagua mtu kwa kabila lake wala kumkataa kwa kabila lake". Nami naongezea: "Hatutamchagua mtu kwa jinsia yake wala hatutamkataa mtu kwa jinsia yake".

Kama viongozi wa ccm wangekuwa wanashaurika ningekuomba uwafikishie ujumbe huu.

Lakini kwakuwa hawashauriki na kwakuwa wanaongozwa na ubinafsi, chuki binafsi na usaliti, sitoshangaa wakiamua kuingiza kigezo cha jinsia ili kumpata mgombea wao.

Kama ambavyo jinsia ya spika wa bunge letu Anne Makinda isivyotusaidia vivyo hivyo kuchagua raisi kwa kuangalia jinsia yake itatupeleka gizani!
 
wanawake wa ccm nao ni 'mafisadi vicheche' tu, hakuna mwenye unafuu pale. Mimi naona afadhali tumpe el kwasababu anaonekana amejirekebisha hasa kutokana na kauli zake za leo.

khaaaaaaa,ccm isiwemo kabisaa awe wa kike wala wakiume wao dugu moja
 
Aaaaaah! mwana -mke tena mkojolea nyuma amungoze nani tena wanawake wa chama chetu kwangu binafsi no labda akaongoze kuzim

MIND UR LANGUAGE WE UNAKOJOLEA WAPI?
WANAWAKE WANAWEZA.KM MNATUDHARAU
NINYI MMEFANYA NINI
KIPYA SINCE THEN?
na tusi hilo umeanzia kiumpa mama aliekutotoa
demu wako
na jamii mzima
shame on you!!!! aghrrrrrrrr
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom