• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Crashwise
Reaction score
957

Profile posts Latest activity Postings About

  • N
    Fanya utafiti vizuri kabla ya kuandika,hakuna mwandishi aliyeibeba chadema arusha kama mimi tena wakati huo hata wewe ujadandia,mimi mpaka leo nina nakala ya ilani ya uchaguzi ya chadema 1995 wakati huo wewe hujuhi chochote kuhusiana na chadema.mimi kupata udc wala haitokani na kuandika vibaya chadema kama hujui na kwa vyovyote utakuwa hujui kwa kuwa ndiyo kwanza unaingia katika siasa nilishawahi kuwa kiongozi mkubwa tu mkoani arusha ndani ya ccm,lakini pia nimewahi kugombea ubunge na kushika nafasi ya juu lakini katika uchambuzi wa ilani za ccm nimeshiriki kikamilifu,hayo lwa faida yak,usiku mwema
    Crashwise
    Ni kweli kabisa kwani zitto anapaswa pia kutetea maslai ya taifa kwa ujumla je? akitetea jimbo lake tu taifa letu lita kwenda wapi?ikiwa pale bungeni kila mtu anatetea jimbo lake je nae slaa akiamua kutetea jimbo lake kwa akili yako itakuwa je? leta hoja yenye akili kama hauna nyamaza kama mimi au filexi mrema wa arusha mjini ata bungeni aonekani ukimuona anasinzia duuuu akina zitto slaa tuokoeni tunaisha na mafisadi msitete majimbo yenu tuu maana kumbukeni waleta hoja kauli ya mafisadi inasema BORA MAISHA.
  • Loading…
  • Loading…
  • Loading…
Top