Sita Aunguruma Ikulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sita Aunguruma Ikulu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mambo Jambo, Dec 11, 2009.

 1. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Jana katika hafla iliyoandaliwa na Mh JK ikulu magogoni Dar es salaam, ikiwa ni kuadhimisha miaka 48 ya kupata uhuru wa Tan....... spika wa bunge Bw Sita alisikika akisema kwa machungu kwamba maamuzi magumu yamemshinda muungwana kutokana na yeye kutokutoa maamuzi ya msingi juu ya ufisadi, kati ya mambo aliyozungumza alihoji ni biashara gani kiongozi wa serikali anaweza kufanya kiasi cha kuwa na account ya mamillion ya shiling kwenye account za nje, maneno hayo aliyasema akiwa ikulu magogoni Dar es salaam...

  My Take: Nasubiri matusi na kejeli kutoka kwa Waziri Mkuu Makamba kwenda kwa Bw Sita juu ya tuhuma hizi.

  MJ
   
 2. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2009
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  JF ya siku hizi kazi kweli kweli!
   
 3. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,101
  Likes Received: 4,057
  Trophy Points: 280
  Mh Sita i concur you! Washa moto nchi hii ni yetu sote kama huyo "WaKubembea" anashindwa kufanya uamuzi na aondoke! na ole wenu mumkolimbe Mr six hapatakalika humu nchini!
   
 4. J

  JokaKuu Platinum Member

  #4
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,152
  Trophy Points: 280
  ..waache kutuzungusha hawa.

  ..Muungwana ameingia Ikulu kwa nguvu na pesa za MAFISADI.

  ..kinachopaswa kufanyika ni kumuondoa na kuleta mtu mwingine msafi asiyekuwa na mahusiano na mafisadi.
   
 5. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Sawa kiranja
   
 6. C

  Chuma JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2009
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nani Msafi ktk CCM?
   
 7. J

  JokaKuu Platinum Member

  #7
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,152
  Trophy Points: 280
  Chuma,

  ..wengi ni wachafu huko CCM tukianza na huyu JK. pamoja na hayo, CCM kama chama wanaweza kutuletea mtu mwingine na sisi wananchi tukiona ni msafi tunaweza kumpigia kura.

  .. Raisi wa Tanzania siyo lazima atoke CCM tu.vyama vingine vya siasa kama CUF etc vinaweza kusimamisha mgombea ambaye wanaamini ana sifa za kutuongoza ktk harakati zetu za kujiletea maendeleo.

  ..zaidi nashauri vyama vya upinzani vijizatiti kwelikweli ili viwe na majority bungeni na kuzuia CCM wasitoe Waziri Mkuu na Baraza la Mawaziri.
   
 8. F

  Future-Tanzania JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2009
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dawa ya kurekebisha system chafu ya Tanzania ni kuwa na waziri mkuu kutoka upinzani na speaker kutoka chama kingine cha upinzania (DR slaa atafaa sana kuwa speaker)
   
 9. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mwambie arekebishi kwanza matatizo chadema? speaker too high for him
   
 10. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #10
  Dec 11, 2009
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  chadema hakuna matatizo yoyote. utabiri wa shehe boko haramu umeshindwa kutimia.
   
 11. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hakuna matatizo kuna maradhi
   
 12. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,954
  Likes Received: 1,514
  Trophy Points: 280
  Mimi naona tatizo la msingi ni katiba yetu yenye virakaviraka kama suruali ya pampula wenzetu kenya wametengeneza rasimu ya katiba na kuwapelekea wananchi waisome na waitolea mapendekezo ambayo watayapigia kura baadaye,hilo ndio akina Mwakyembe mabingwa wa sheria za Katiba wanatakiwa walileta jamvini,bila katiba mpya wote tutaonekana WEHU na WENYEWIVU na pia WAVIVU WA KUFIKIRI
   
 13. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #13
  Dec 11, 2009
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Maradhi ya akili au ya kuanguka na kuzimika ofisini?
   
 14. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #14
  Dec 11, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Inamaana mbowe na slaa wanaaguka na kuzimika ofisini? wapeleke mirembe..kwasababu huna pesa za kwenda nje. ha ha ha
   
 15. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #15
  Dec 11, 2009
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mirembe kote kwa nini? hii issue ya bagamoyo tu wakapungiwe na shehe kokoro hazaruni
   
 16. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #16
  Dec 11, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Muwahishe mwenzio mbowe lakini sasa utaacha hizo ndovu za bure? wewe mlafi
   
 17. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #17
  Dec 11, 2009
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Sio ndovu pekee, kuna mapaja mawili hapa ya kitimoto kama unataka kujaribu.
   
 18. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #18
  Dec 11, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mpeleleke kwanza tajiri yako anayekuweka mjini...line isije katika?
   
 19. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #19
  Dec 11, 2009
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Sitta, Malecela, Mwandosya, Lowassa, Sumaye, n.k wote wachukue wachukue fomu mwakani,ili kuvuruga chama....mwisho wa CCM utaletwa na wanaCCM wenyewe!!
   
 20. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #20
  Dec 11, 2009
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ahh,

  kumbe "tajiri wako" mdogo wake shehe kokoro hazaruni naye anahitaji kitimoto? Now you are talking?
   
Loading...