Lunyungu
Joined
Likes
96

Profile posts Latest activity Postings About

 • Kitia
  Mkuu habari za siku? Sisi wazima Mungu anatusaidia. Vipi hali ya maumivu? Naona uko Tanzania, naomba tuwasiliane.
  nguvumali
  POLE lUNYUNGU, NIMEAMBIWA UNAUMWA POLE MKUU.\
  NAMISS MICHANGO YAKO MARIDADI JAMVINI
  M
  hivi wewew aliyekuambia Eric Msekwa kajilipua nani? una uhakika au unalopoka tu...Utashitakiwa bure.
  M
  Unadhani watashitakiwa kabla ya 2008?
  Will suspects in the Richmond scandal be charged by 2009?
  K
  Kaka Hili ni Bomu Kubwa NNO! Ule Mtambo wa kuzalisha umeme wa MW100 ulionunuliwa na serikali Kwa zaidi ya Billion 150 ambao umefungwa pale Ubungo umeleta balaa kubwa: MAJUZI WAKATI WA KUUJARI IKAGUDULIKA KWAMBA JUMBA LOTE LA MAKAO MAKUU YA TANESCO LILIKUWA LINA TINGISHIKA SANA HIVYO WATAALAMU WA WARTSILLA WAKAZIMA MITAMBO YAO MAPAKA YAFUATAYO YAFANYIKE (1) MITAMBAO IHAMISHE IPELEKWE MAHALI PENGINE AU (2) JUMBA LA TANESCO MAKAO MAKUU LIVUNJWE sasa kitandawili ni kwamba wataalamu wanadi kwamba kuhamisha mitabo ni gharama kubwa sana kuliko kuvunja jumba la makao Makuu ya Tanesco!!
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…