Taarifa ya habari usiku huu wote mtakuwa mmeona Shein anaongea kwa hasira jinsi mlivyomsema juu ya yeye kula kiapo Dar na kuingia katika baraza la Mawaziri .Jamani mmemkaba koo sana huyu ndugu...
Commonwealth Homosexuality Rights Balderdash! (Part……1)
What is the world turning into? Can someone educate me?
What is UK (David Cameron) saying to the fifty-four (54) Commonwealth...
Wana JF,
Kwa Mujibu wa Mwana harakati aliyeko arusha kani juza kuwa wale wanachama wa CHADEMA waliokamatwa na Police Mtaa wa DECEMBER jana mchana wakiwa kwenye shughuli zao bianafsi na kuswekwa...
Tetesi: habari zilizopatikana hivi punde zinasema kuwa makati ya bunge ya hesabu za mashirika ya umma poac imekataa kuzipitisha hesabu za shirika la mamlaka ya mawasiliano TCRA kutokana na...
Kwako Mheshimiwa Lema
Tukio la tarehe 31/October, 2011 la wewe Kukataa Dhamana hivyo kulazimika kwenda rumande katika Gereza la Kisongo kwa siku 14 limezungmzwa na Watu wengi sana na mpaka sasa...
Watawala wajinga huamini silaha ni nyenzo ya kazi kwa ajili ya kuogopesha, katika hali hiyo hiyo ya ukungu katika ubongo wao hudhani magereza ni tishio ambalo hakuna mwanadamu yuko tayari kukubali...
SHIRIKA la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), limesema Tanzania imeendelea kufanya vyema kiuchumi, licha ya changamoto kadhaa inazolikabili. Kwa mujibu wa ripoti ya Maendeleo Duniani ya mwaka...
Hivi kweli ww Kama kiongozi mwenye Mapenzi mema na Nchi yako na Kizazi kijacho Unaweza kufanya Madudu kama hayo kweli...Unapitisha hela ya Mwananchi wa kawaida na Kuibariki kutumika kijinga namna...
Majuzi nimesikia wizara ya afya ikisema hawamtambui yule daktari wa vidonda vya tumbo pale buguruni Dr. Lubago. Kuwa dawa zake hazijathibitishwa na wizara, cha kushangaza ni kwamba yule mama...
Hivi karibuni kumeibuka minong'ono ya serikali ya Uingereza kuisaidia Tz kwa masharti ya kutambua uwepo wa mashoga.Ni kweli anaekusaidia ana uwezo wa kukushauri mambo fulani,mabaya au mazuri,SI...
Jana jioni mkuu wa mkoa wa Arusha alifanya kipindi maalumu kaitka Radio Triple A arusha na kusisitiza kuwa wananchi tuwe na amani na kuwa leo hakutakua na mgomo wa daladala. Mkuu huyu wa mkoa wa...
Parliament Reject Legalisation Of Homosexuality | Politics | Peacefmonline.com
Natumai bunge letu pia litoe tamko kuhusiana na ili la ushoga
Tena hatuitaji kulidiscuss ni kulitolea tamko tuu...
Government gets tougher on dynamite fishing
Omari Shemahonge, is a frequent buyer of fish at the Sahare fish collection centre in Tanga City. He normally buys the commodity from...
FINNIGAN WA SIMBEYE
Dar es Salaam
CONTROVERSY continues to dog the surprise appointment of senior Bank of Tanzania (BoT) official Peter Noni as the new head of the state-run Tanzania Investment...
Kwa mara ya kwanza naona viongozi wetu wamesoma mioyo ya watanzania. Tanzania inachohitaji si suala la mali bali utu wetu. Utu wetu hauna thamani na chochote. Hongera Membe kutuwakilisha vema...
Salaam:
Pamoja na kwamba huwezi kutenganisha moja kwa moja ''role" ya marais walioongoza nchi hii kwa vipindi mbalimbali na historia ya Tanzania, mwelekeo unaoonekana hasa katika vyombo vingi vya...
Wakati mwingine huwa napitia Ilani za uchaguzi za CHADEMA za 2005 na 2010 nakujiuliza ni kwa nini watanzania hawakuichagua kuongoza nchi kwenye chaguzi hizo zilizopita. CHADEMA linapokuja swala la...
Kama kiapo kile hakitaji uaminifu wake kwa katiba ya jamhuri ya muungano hapo ndipo makosa yanapo anzia, nakubaliana kiapo chake alichokiapa Dar ilikuwa ni kumdhalilisha hasa. Yeye kama Rais...
WanajF nimeleta thread hii baada ya kukosa majibu kuwa taasisi ya Urais [Presidential Power] je ni mali ya Watanzania au ni mali ya kajikundi ka watu?Kwanini nasema hivyo kwa kuwa humu ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.