‎We must gather our people and unify them to tackle our problems, i do believe we can if we wan't to make change, we can if we wan't to move on as the nation.
My brothers & sisters, this...
Nakuandikia ujumbe huu muhimu nikiwakilisha mawazo chanya ya watz wenzangu ambao kwa namna moja au nyingine tumekata tamaa na serikali yako ya sasa,ninakutahadharisha kwa hili kwa kuwa wewe kwa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA WOTE WA WATANZANIA
TAMKO LA CHADEMA WILAYA YA GEITA JUU YA UNYANYASWAJI WA HAKI YA KIDEMOKRASIA ANAYOFANYIWA MH.GODBLESS LEMA (MB) NA WANACHADEMA WOTE WA...
THURSDAY, 03 NOVEMBER 2011 19:03 NEWSROOM
* Ni kuhusu maendeleo Pemba
* Asema hajavunjiwa heshima
* Atoboa siri juu ya bei ya mikate
HATIMAYE Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Sheni...
UZEMBE NA UFISADI wa viongozi wetu ulichukua mimba na umezaa umaskini mkubwa nchini, nao umaskini ukakomaa ukachukua mimba unataka kilizalia taifa letu mtoto aitwae ushoga nao ushoga utalliua...
Ndugu wana JF,
Sisi sote Ni mashuhuda jinsi Chama cha Demokrasia na Maendeleo KILIVYOBADILISHA SIASA ZA NCHI YETU KWA MIKAKATI YA KISAYANSI (SCIENTIFIC STRATEGY) na kinavyoendelea kukitesa chama...
Ile kamati ya ya Bunge inayoongozwa na Mh.Mrema amegoma kopokea taarifa ya mahesabu katika manispaa ya ilala baada ya kukuta kunaupungufu wa 18bl mwaka 2010/2011 na 3bl mwaka 2009/2010 ambazo...
Jamani wana JF hili la wasomi kuwa watumwa kwa wanasiasa litakoma lini?maana hal ni mbaya sasa wameamia had mashulen kwa mfano leo mkuu wa mkoa alizulu shulen kwetu na kuongea pumba zake kwa...
Na Mwandishi Wetu
BENKI ya Exim Tanzania imetoa mikopo ya shilingi bilioni 13 kupitia program yake ya Uwezeshaji wa Kifedha kwa Wanawake Wajasiriamali (WEF) katika kipindi cha miaka 4.
Ofisa wa...
Speaking to the Daily Graphic in London, Ms. Helen Bower, a spokesperson at the Number 10 Downing Street Press Office, said the UK Government is at the forefront of work to promote human rights...
Sijavibagua vyama vingine ila kwa sasa ni wazi ni hali halisi challenger wa CCM ni CDM
Dunia ya sasa ni ya dot com. Mafanikio yan chi kama India, china , singapore kwenye sekta mbali mbali...
Haki za MwanaChama CHADEMA
Kila mwanachama ana haki ya:-
5.2.1 Kuchagua viongozi wa Chama wa ngazi anayohusika kwa mujibu wa katiba.
5.2.2 Kuchaguliwa kuongoza na kuwakilisha Chama katika ngazi...
Taarifa kutoka kwa walimu wakuu wa shule za sekondari na wasimamizi wa mitihani wa Kanda ya Mashariki iliyofanyika jana katika shule ya sekondari ya Kilakala, wameelezwa kuwa TAMISEMI wametoa pesa...
Mkuu wa Usalama Wa ndani wa Serikali Ya Libya [Libya's former internal security chief, Mansour Daw,] akiongea na CNN amesema anajuta ni kwanini amekuwa ni sehemu ya Utawala wa Gaddafi.Na anasema...
Siku chahche baada ya mh. Godbless Lema kukataa dhamana na *kuamua kwenda jela kupinga vikali uonevu unaofamywa na baadhi ya maofisa wa jeshi la polisi wanaotumiwa kisisasa, kupinga dola kutumia...
Hadi leo, serikali ya Zambia imehamasisha mabenki yamepunguza cost of borrowing (kiwango cha kukopa) kama ifuatavyo:
Cavmont Bank from 20 to 16%
Invest Trust and ZANACO banks from 19 to 15%...
Ukiitizama Tanzania ya leo na ukawatizama watanganyika wa leo katika kudai upya na kupigania uhuru wao kwa mara ya pili hakika utaona kama ni Tripoli basi ni Arusha,kama ni Alexandria basi ni...
Sasa haya ni matusi lazima hatua kali zichukuliwe dhidi ya Nape Nauye kwa kitendo cha kutudhalilisha watz wa hapa Us na huko bongo, eti kaenda Huoston(wabongo kibao) kufungua matawi ya chama...
Kijana huyo ambaye anatajwa kuwa machachari kwenye siasa uchwara kama ilivyo elezwa na Rostam Aziz mbunge wa zamani wa igunga aliye ng'atuka mara baada ya kushindwa kuendelea kunywa siasa maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.