mbona hamkumkamata Jairo aliposukumwa na gari yake pale wizara ya nishati na madini? Mtego mdogo mmeingia kichwakichwa safari hii inakula kwenu.OCD kwanza then watafuata wengineNani aliomtisha kwenda jela? kapewa dhamana kaikataa, asidanganye watu. Siasa za kucheza na hisia na watu ni mbaya kuliko siasa maji taka.
nani aliomtisha kwenda jela? Kapewa dhamana kaikataa, asidanganye watu. Siasa za kucheza na hisia na watu ni mbaya kuliko siasa maji taka.
Huyu jamaa anataka cheap popularity. Hana lolote huyo.
Lamaya.... Tafakari..
Siyo lema tuu anayetishiwa jamani, tukianza kuwataja wabunge na madiwani wa cdm wanaotishiwa kila cku na vyombo vya usalama ni wengi kupita maelezo, sasa lema ameonyesha wazi hatishwi na huko jela wanapomtishia kila cku, amepeleka ujumbe wake direct kwa wale wanaozani anaogopa kwenda jela
UV-CCM pale arusha waliandamana bila kibali cha polisi na hawakufunguliwa kesi wala kukamatwa! Double standards? What a shame? Police na mahakama arusha mnatuabisha.acheni mbunge afanye kazi za maendeleo ya jimbo na sio kupotezeana muda na gharama zisizo na msingi.mlimkodia Freeman ndege mlipata nini na pesa za afya na barabara hamna!
huyu jamaa anataka cheap popularity. Hana lolote huyo.
hivi we mwanamke utaelimika lini?? G .lema katujengea ujasiri hatuogopi tn polisi, hatuogopi magereza ilimradi tusivunje sheria.nani aliomtisha kwenda jela? Kapewa dhamana kaikataa, asidanganye watu. Siasa za kucheza na hisia na watu ni mbaya kuliko siasa maji taka.
halafu wakapewa amri na brigedia jenerali mkuu wa makamanda wa tz kw ikifika sa 4 wawe wamemwachia bila mashart yyt, NA BILA KUPINDAPINDA WAKATII MASHART TN HARAKA SNHuu inaonesha si ukweli. Freeman Mbowe alikodiwa ndege ipi?
Nitaenda jela kwa hiari yangu binafsi wale mlionitisha kwenda jela sasa nimetangulia kwa hiari yangu, mliobaki msiogope jela, endeleeni kupigania ukombozi utakaoleta utu na heshima katika nchi yetu.
Wakati mwengine na wasiwasi kuwa huyu jamaa huwa anapelekaga gaja. maamuzi yake siku zote huwa yanakuwaga ya ajabu.Nitaenda jela kwa hiari yangu binafsi wale mlionitisha kwenda jela sasa nimetangulia kwa hiari yangu, mliobaki msiogope jela, endeleeni kupigania ukombozi utakaoleta utu na heshima katika nchi yetu.