Mtu wa Pwani
Joined
Likes
99

Profile posts Latest activity Postings About

 • Mtu wa Pwani
  jamani mambo mazuri nnategemea kuwa mjengoni wakuu katika kipindi hiki dua zenu kwa sana
  Mtu wa Pwani
  Nipo mkuu ila mambo mengi si unajua tena nnajitayarisha kugombea 2010
  Mtu wa Pwani
  asanteni wakuu ramadhani imeisha na sikuu ilikuwa swafi tu waheshimiwa


  sasa nimeondokazenji kidogo kuelekea nchi za afrika mashariki

  nimo nikijiandaa kutafuta maisha si mnajua mwanawane

  invisible lete stori
  L
  Ramadhani days are numbered, soon utamaliza. Still, allow me to wish you Mfungo mwema.

  BTW, Ni nini kupotea hivyo?
  Invisible
  Inaisha hii Ramadhan muda si mrefu... Zenji kipindi cha Ramadhan huwa hapatoshi! Umeme haukatiki ovyo huko?

  Hahaha, maisha si magumu. Hapo umekuta hali ni nzuri walau!
  Mtu wa Pwani
  asante mkuu ramadhan imo kwenda ila kwa sasa niko zenji na maisha magumu sio mchezo
  Invisible
  Salama yakhe? I see, nakutakia mfungo mwema mkulu.

  Inshallah, uumalize salama
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…