hii nchi bana haiishi vituko.....................
leo nimekipata chengine.
mabwana na kina mama fulani wakiwa kwenye chumba cha mikutani wameibuka na tathmini kwamba uchumi wetu umekua kwani...
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye,
anaendelea kufanyiwa mazoezi ya bega kwenye
Taasisi ya Mifupa Muhimbi (Moi), baada ya
kufanyiwa upasuaji hivi karibuni ameitaka
Serikali kuisaidia...
Hizi ni sbb zinazonifanya nisione umuhimu wa maadhimisho hy 1. KIUCHUMI kwa sasa hapa TZ uzalishaji mali ni mdogo sn ukilinganisha na rasilimali vitu zilizoko Tz, tunategemea vitu vingi sn...
Kwa mara nyingine tena viongozi wa upinzani na wa CCM wanagongana airport..(nyama za mashirika ya ndege???). Safari hii ni Mhe. Zitto akitokea Nairobi kwenye mkutano wa Raila Odinga na akagongana...
Yapata mwaka sasa lakini mbunge wa Arumeru Mashariki hatujui alipo wala hatuna taarifa sis wananchi wa jimbo hilo Bunge la bajeti mpaka limeisha hatujamuona nafikiri hata ajaapishwa: Ni hoja 2...
Thursday
November 3, 2011
powered by
Fix education mess, donors tell Tanzania
Rating
By POLYCARP MACHIRA NATION Correspondent Dar es Salaam, Wednesday...
Nianze kwa kutoa salamu kwa wana Jamii wote
nimekaa nikawaza sana kuhusu hayamaonyeshao yakila wizara hivi yanatusaidia nini ? na je inawaongezea nini wananchi wakati huu wakusherekea miaka...
Nianze makala yangu kwa kuwapa pole watanzania wenzangu hasa kutokana na kupanda kwa gharama za maisha nasema POLENI WATANZANIA! .Kinachonifanya kushuka jamvini muda huu ni kujaribu kulileta...
Naomba wana great thinker tujiulize ni kipi kimejiri kuhusu ile ajali ya boat MV Islander? Je kuna mtu amechukuliwa hatua kwenye serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) au ndo mambo ya interest za...
The Constitution of Tanzania: Victim or Villain of a Peoples' Underdevelopment [Draft]
Background
The call for a new constitution is not new in Tanzania's politics. In 2005, a CCM MP for...
Wana jamii,
Jana niliona kwenye news Mh. Pinda (zamani Mtoto wa Mkulima) akitoa maagizo wakurugenzi wachululiwe hatua. Ni lini yeye kama PM atafanya action ya moja kwa moja bila kuishia kutoa...
Kwanza niseme wazi kuwa bwana Cameroon waziri Mkuu wa Uingereza anataka kuitangaza Uigereza iliyokua inaanza kupotea kwenye masikio ya walimwengu. Na kwa masharti ya misaada kwa kuualalisha ushoga...
Ilikuonyesha kumuunga mkono kamanda Godbless Lema, madereva wa daladala na Toyo kesho wataanza mgomo hapa Arusha....
=======
Wito wa mgomo na maandamano ya kupinga Ukiukwaji wa Katiba, haki za...
Waliokamatwa kwenye mgomo wa daladala na pikipiki jana tarehe 02.11.2011, uliokuwa unashinikiza OCD (ZUberi) wa Arusha aondolewe kwa uonevu anaoufanya zidi ya watu wa Arusha na kwa mbunge wao Mh...
Miezi 3 ijayo inahisiwa 1 USD($) =TZS 2,500 Ambapo moja ya athari kubwa itakuwa ni kupanda kwa bei ya bidhaa mbalimbali kunakotokana na kushindwa kwa sera za kiuchumi ya serikali ya Kikwete...
Nimekuwa nikitfakari kwa mda sasa kama 2011 tunasherehekea miaka 50 ya uhuru wa Tanzania badala ya Tanganyika sasa ikifika 2014 tutasheherekea miaka 50 ya Tanganyika au Tanzania au huo mwaka...
hali ya kiuchumi ya Nchi yetu ya tanzania baada ya uchaguzi wa Ubunge wa jimbo la Igunga ipo taabani na sababu kubwa ikiwa matumizi makubwa ya fedha katika uchaguzi huo; licha ya bajeti kupita...
Kumekua na mzozo mkubwa sasa hivi hapa nchini wa kuukubali ushoga. Naomba ni weke wazi hapa kuwa mimi binafsi si ukubali USHOGA, achalia mbali haki zao, kauli mbalimbali zimekua zikitolewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.