Hivi ndivyo serikali ilivyouelezea mgomo wa Madaktari Bungeni
- Mgogoro ulianza baada ya madaktari wa mafunzo ya vitendo kugoma kwa jili ya kutaka malipo yao
- Serikali iliwapa malipo yao
-...
Ndugu wanajamvi pamoja na kuwa sisi ni wajenga hoja nzito huku vipi deni la Bodi ya Mikopo? Mbona hawajaweka kiasi watu wanachodaiwa? Asilimia 96% ya Wana Jf ninaowafahamu kwa names zao halisi...
Nilisoma gazeti la mwanahalisi la Jana na kuona jinsi Chadema ilivyojibu hoja ya Mh zitto Kuhusu Chanzo cha mazungumzo ya CHADEMA na rais JK.
Licha ya kuwa ile habari imetoka kwenye gazeti kama...
kutokana na shutuma kali na upotoshaji uliofamyea na Waziri wa Afya Mponda katika taarifa yake juu ya Mgomo wa Madaktari naomba tujadili kati hawa nani ni daktari wa Ukweli kati ya Jakaya Kikwete...
Kwenye taarifa ya habari ya RADIO ONE ya saa 1 asubuhi ya leo (02.02.2012) . Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo la Arusha ulitoa misaada mbali mbali kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira hatarishi ambapo...
Unajua huwa ninakwazika sana hao watajwa hapo juu wametukwaza big time mmoja kwenye issue ya Jairo mwengine kwenye issue ya Richmond.
Na Leon Bahati:
UMOJA wa Afrika (AU) umemteua Mkurugenzi wa...
Anasema Bunge linapokea taarifa kutoka kwa Serikali kuhusiana na Mgomo wa Madakrari na bunge inaonekana halitaruhusiwa kujadili.
Mh Jembe Mnyika anasema Waziri ni watuhumiwa wa uzembe na bunge...
Ndugu wanajamvi naomba kufahamu kutoka kwenu kuhusu muungano wa tanganyika na zanziba.1;nini sababu iliyopelekea kuwa na muungano.2;watanganyika na wazanzibar waliafiki?3;viongozi hawa walitumia...
NAPE AUKABIDHI MIFUKO 700 YA SARUJI MKOA WA MARA KWA AJILI YA UJENZI WA MADARASA
NA BASHIR NKOROMO, MUSOMA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeukabidhi mkoa wa Mara tani za saruji kwa ajili ya...
wadau nimepata faraja sana baada ya kuona wabunge vijana wameungana ndani ya ukumbi wa bunge kutetea maslahi ya vijana ikiwa ni pamoja na ajira, elimu, ardhi pamoja na ushirikiswaji,
katika...
na Nasra Abdallah, Zanzibar
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewataka wakazi wa jimbo la Uzini, kutokubali kuwa kama kuku wanaorushiwa mahindi pindi wanapotakiwa...
Mtoto mmoja wa kigogo anayetamba kwa utajiri nchini amefanikiwa kupata faili la ugonjwa unaomsumbua Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe kwa kuwahonga maafisa wa Wizara ya Afya sh. mil...
Hivi sasa wabunge waliochaguliwa wa majimbo mbali mbali wapo kwenye utekelezaji wa ahadi walizo zitoa. Mie ni mkazi wa jimbo la Kawe, na mojawapo ya ahadi aliyoahidi mbunge wa Kawe, Mh. Halima...
Baada ya kubanwa sana na pia kuzomewa na wabunge jana jioni wakati akitetea hoja ya marekebisho ya sheria mbalimbali aliyowasilisha bungeni, alianza kutoa vitisho kuwa hajafukuzwa ujaji huko...
Wakuu,
Ukurusa wa mbele wa gazeti la mwananchi la leo kuna habari hii ya kukatisha tamaa ya serikali kuishiwa na fedha. Gazeti limeandika, Akijiba swali la Mbunge wa Singida Magharibi, Mohamed...
Jana nimeshudia jambo ambalo sikuliona kama liko sawa hata kama ni sawa sawa kulingana na kanuni tukufu za bunge tukufu.
Wabunge Mh Ndululile na Mh Mnyika walitoa hoja ya kusitisha shughuli zote...
Pamoja na changamoto nyingi zinazolikabili taifa letu nadhani namna tunavyoshungurikia stakihiki za madaktari si njema sana kwa maslai na ustawi wa Taifa na si dhani kwamba migomo inayoendelea kwa...
Sikubaliani hata kidogo na wale wanaopinga ama kubeza uboreshwaji, wa maslahi ya madaktari.
Na wakati huohuo sikubaliani mara 1000 na madaktari na vibaraka wao wawaungao mkono kwa namna...
Anasema wanasiasa hasa wabunge wanakuwa na stress sana kwa kuwa wakati wapo kwenye shughuli za maendeleo huku watu wengine wakiendeleavna siasa jimbon kwake.kaamlika dr.wa saikolojia akawakoe wabunge