Taarifa ya serikali juu ya mgomo wa madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa ya serikali juu ya mgomo wa madaktari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by analysti, Feb 3, 2012.

 1. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Hivi ndivyo serikali ilivyouelezea mgomo wa Madaktari Bungeni

  - Mgogoro ulianza baada ya madaktari wa mafunzo ya vitendo kugoma kwa jili ya kutaka malipo yao
  - Serikali iliwapa malipo yao
  - Lakini waliendelea na mgomo
  - MAT iliingilia kati na kuendeleza mgomo
  - MAT ikaunda kamati ya muda na kuendeleza mgomo

  My Take
  Taarifa imeegemea ktk kukandamiza madai ya msingi ya mgomo huo.
  Serikali makini hujali watu wake na hutumia njia za hekima kutatua disputes zinazojitokeza kwenye jamii

   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kwanini MAT waliendeleza mgomo?
  Kwanini lisiongelewa suala la haki zao wanazodai?
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,549
  Likes Received: 18,220
  Trophy Points: 280
  Kama ipo unganisha!
  Kama haipo niwashushie!
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  waziri anaongea kwa hofu tupu, inaonekana jamaa ni mgeni sana kwani anaongea kwa kutetemeka
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  naona waziri wa afya anajaribu kufix mambo ili madaktari waonekane wabaya
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,549
  Likes Received: 18,220
  Trophy Points: 280
  Asante Analyst, keep us updated!.
   
 7. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  bado hakuna cha maana anachoongea kuhusiana na mgomo huuu.
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hakyaMUNGU wakimwacha huyu waziri nitaamini ccm imeoza
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,549
  Likes Received: 18,220
  Trophy Points: 280
  Mode unganisha hii kule kwa analysti!
   
 10. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mbona wazir anasema posho tayari wakishalipwa toka jan
   
 11. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Anadai MAT ilitoa madai mapya, na wizara iliomba ikutane na viongozi wa MAT na kujadiliana nao kuhusu madai yao
   
 12. t

  taranda Member

  #12
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ivii..huyu waziri wa afya si ndio yule ambae aliesema interns sio madaktari,..ananichefua sana huyu jamaa
   
 13. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Imbombo ngafu
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  serikali ilisharekebisha posho za madaktari.
   
 15. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  waziri anaongea huku akitetemeka, sijui ana ugonjwa wa mdondo!
   
 16. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Na ataachwa kama alivyo! kumbuka mambo ya mwaka jana kwa Ngeleja et al hadi leo wanakula bata.
   
 17. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Hakika waziri anaongea huku akitetemeka vibaya mno!!, Kwa maana J.Mnyika amewachana yeye na wenzake kuwa wanastahili kuwajibishwa
   
 18. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hivi huyu wazir anasoma au anatoa kichwani hii hotuba? Mbona anatetemeka sana.... Duh anamlipua ulimboks aise... Kumbe ulimboka ni kishoka
   
 19. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  bwana ulimboka steven hajaajiriwa na serikali na wala hatambuliwi na serikali
   
 20. t

  taranda Member

  #20
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa mbona anajikita na ishu ya ulimboka anaacha mambo ya msingi.
   
Loading...