Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Angalia na Uone mwenyewe.. Hivi hapa nani wa Kulaumiwa?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo katika kipindi cha asubuhi za Radio One Nipashe kilikuwa kinamuhoji Dr. Bashiri Ally (Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam – Kitivo cha Siasa) kuhusiana na lengo kuu la vyama vya siasa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeshitushwa sana na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Bunge, Sylivester Mabumba aliyekuwa akiendesha Bunge jana jioni. Baada ya Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Stella Manyanya kuwatuhumu Chadema...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Wana CDM wenzangu, kufuatia mikutano tuliyofanya wilayani Ngara mwezi Mei 2012; CCM nao wameanza kujipima nguvu kwa kuitisha mikutano ya hadhara. ili kukwepa aibu, jana CCM iliitisha mkutano wa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
WanaJF, Huu mgomo una athari zaidi ya zile za wagonjwa kutotibiwa!! Karibu hospitali zote kubwa zenye maDr waliogoma zina vyuo vya kufundishia udaktari, unesi, ufamasia, udaktari wa meno, ufundi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni na kuna msemo mwingine unasema nyani haoni kundule.Misemo hii miwili ndioi inaweza kumtambulisha vizuri mbunge wa viti maalum mkoa wa Rukwa eng.Stella...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI WIZARA YA MALIASILI UTALII NA MAZINGIRA MHESHIMIWA MCH. PETER MSIGWA KUHUSU MPANGO WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA WA MAPATO NA MATUMIZI KWA...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Katika vikao vya Bunge vilivyopita sikuwahi kumsikia Nchemba akichangia hoja yoyote. Nilimsikia zaidi pale ambapo palitokea By election (uchaguzi mdogo wa jimbo). Ndani ya Bunge mchumi huyu wa...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
http://visually.visually.netdna-cdn.com/globalenvisiontheconfluenceofglobalmarketsandpoverty_4f6dbac71f507.jpg
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Idd Amin Dada, Jean Baptiste Bedel Bokasa, Saddam Hussein, Al Assad, Nero nk. Sikuamini na siamini kama Serikali yetu imemwaga damu ya Dk Ulimboka ili kuondoa 'udhia' na kunusuru damu za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa hari ya kisiasa niionavyo sasa naona kama vile Chadema ndio chama tawala na kila kona ya nchi hata vyama vya upinzani vilivyo vingi vinakipiga vijembe na vita ya chini chini na wakati mwingine...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Toka awamu ya tatu ianze katika ngazi ya utekelezaji wa mpango wa kurasimisha rasilimali na biashara za wanyonge (MKURABITA) mwaka 2008 mpaka sasa 2012 kuna dalili zozote zinazoashiria mafanikio...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Viongozi wa Chadema wasimamishwa Wilayani Karatu. Viongozi hao ni Katibu wa Wilaya Bw. Laureti Malkio Botha, Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya Bw. Joseph Samwel Mtui na Katibu wa BAWACHA Wilaya Bw...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Raisi wangu kwa nin unanipa msongo wa mawazo kiasi hiki? Kila kukicha matatizo yanazid,hutaki kutafuta ufumbuz mathalan MGOMO WA MADAKTARI,RUSHWA, AJIRA,na mambo mengne mengi yanayotia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wazee wa jukwaani niwieni radhi, jana katika vikao vya jioni tulipata tabu kufikia muafaka wa nani ni nani na nini ni nini kuhusu mgomo wa madaktari! Naomba ufafanuzi na mahusiano kati ya vyombo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam JF, Ni hili swala la wabunge wa Jamhuri kuwa na elimu ya at least shahada ya kwanza (undergraduate degree)...juzi MH. John Mnyika alipokuwa anahutubia bunge kwenya mjadala wa bajeti kuu ya...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
nimekaa chini nikafikiria mateso tunayoyapata watanzania yote ya nasababishwa na umaskini wetu,ukitembea maeneo ya vijijini watu wana hali ngumu sana hata huduma muhimu za kijamii hazipatika,kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jk kulikiri kuwa serikali ni moja ya watuhumiwa wa utesaji wa Dr ulimoboka kisha kuagiza vyombo vya dola kuichunguza serikali imekaeje wadau? inawezekanaje serikali kujichunguza yenyewe? JK...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Spika: Sasa ni zamu ya mheshimiwa Udhaifu Sitaki Udhaifu Sitaki: Asante Spika kwa kuniona Kwanza nianze kwa kusema naunga mkono hoja hii ya bajeti kwa asilimia 500 1.Sikubaliani na kuongeza...
11 Reactions
60 Replies
6K Views
Back
Top Bottom