JK: Natambua serikali kuwa ni moja ya watuhumiwa na kujichunguza ni sawa?

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
472
110
Jk kulikiri kuwa serikali ni moja ya watuhumiwa wa utesaji wa Dr ulimoboka kisha kuagiza vyombo vya dola kuichunguza serikali imekaeje wadau? inawezekanaje serikali kujichunguza yenyewe? JK kushindwa kutoa tamko juu ya tume huru kwa maoni yangu ni ushahidi mwingine ya kuhusika kwake kwenye hili tukio.
 
hapana,hapana,jamani.sidhani kama mh.rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania anaweza kuhusika,kumbuka kuwa yeye ni kiongozi wa nchi tena muadilifu katika utendaji,jamani tusimsingizie kila jambo amehusika,llaaaaaaaa'namtambua vizuri mh.rais
KUBWA ZAIDI JE KUNA USHAHIDI GANI WA KUAMINIKA KUTOKA KWA HUYO DR. KUWA AMETENDEWA UNYAMA?
Kama ni mzushi je?
 
Kama ni mzushi je?[/QUOTE
msapwat MVBONA ALIMTAJA MSANGI ALIMUONA USIMTETE DHAIFU WEWE YULE ANAJIKANYAGA DHAMIRA HUWA INATUSUTAA SIKU ZOTE WANDUGU ANGEKUWA AHUSIKI ASINGELIONGELEA NA WANGEFANYA FASTA KUWAKAMATA WAHUSIKA INASHINDIKANA JE? WATAJIKAMATA HAPO NDIO KIGUGUMIZI ?
 
Last edited by a moderator:
Jk kulikiri kuwa serikali ni moja ya watuhumiwa wa utesaji wa Dr ulimoboka kisha kuagiza vyombo vya dola kuichunguza serikali imekaeje wadau? inawezekanaje serikali kujichunguza yenyewe? JK kushindwa kutoa tamko juu ya tume huru kwa maoni yangu ni ushahidi mwingine ya kuhusika kwake kwenye hili tukio.

Tuwekee basi na hiyo quote ya JK akikiri hivyo
 
"Natambua kuwa Serikali nayo inatajwa katika orodha ya wanaotiliwa shaka" Swali hapa ukishatambua kutiliwa shaka, unajichunguza mwenyewe?
 
Hakuna kosa kubwa kwenye hii hotuba ya Raisi kama kuweka wazi kua serikali nayo ina hisiwa kuhusika .
Kwamtazamo wangu hapo ndo ameweka wazi kua kumbe watuwengi wanahisi kua serikali ilihusika .

Nakumbuka kunamsemo wa waswahili unaosema lisemwalo lipo kama halipo laja. kwani nimatukio mangapi yautekaji yametokea na je ulishawahi sikia Raisi anasema yamehusishwa na serikali ama hata na chama? why only this ? kulitekwa watu igunga wakatekwa watu Arumeru akauwawa mtu Arumeru lakini uliisikia akikiri kua watu wanhisi ni serikali ?

Na kama yeye mwenyewe katambua kua watu wana hisi kua serikali inahusika sasa itakuaje tena wao wanafanya uchunguzi je hao walio kua wana hisi kua serikali inahusika je wata amini ripoty ya serikali ?

wataalamu wamambo wanasema ukitaka kujua mtu anakudanganya sikiliza kwamakini anachoongea na fuatilia neno hadi neno kwa makini utagundua ukweli . Nahuo ndo ukweli alio sema JK
 
Nani?Yule dhaifu? Sasa ninyi mlitaka asemeje,maana upeo wake ndipo ulipo ishia!!
Tulitaka atuthibitishie utayari wake kushughulikia swala hili kwa kutangaza tume huru, tena iwe huru bila kutia shaka.........
 
Jk kulikiri kuwa serikali ni moja ya watuhumiwa wa utesaji wa Dr ulimoboka kisha kuagiza vyombo vya dola kuichunguza serikali imekaeje wadau? inawezekanaje serikali kujichunguza yenyewe? JK kushindwa kutoa tamko juu ya tume huru kwa maoni yangu ni ushahidi mwingine ya kuhusika kwake kwenye hili tukio.

Kwa kutambua hilo tunaomba JK awalete SCOTLAND YARD ili tujue mbichi na mbovu. Kenya waliwahi kufanya hivyo wakati wa kifo cha Ouko, it is not something new.

But hang on little bit, this is a wishful thinking, JK by doing so is like shooting himself on foot.
 
hapana,hapana,jamani.sidhani kama mh.rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania anaweza kuhusika,kumbuka kuwa yeye ni kiongozi wa nchi tena muadilifu katika utendaji,jamani tusimsingizie kila jambo amehusika,llaaaaaaaa'namtambua vizuri mh.rais
KUBWA ZAIDI JE KUNA USHAHIDI GANI WA KUAMINIKA KUTOKA KWA HUYO DR. KUWA AMETENDEWA UNYAMA?
Kama ni mzushi je?

kajifanyia mwenyewe unyama,,,,,,,?swali kwako mdau
 
hapana,hapana,jamani.sidhani kama mh.rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania anaweza kuhusika,kumbuka kuwa yeye ni kiongozi wa nchi tena muadilifu katika utendaji,jamani tusimsingizie kila jambo amehusika,llaaaaaaaa'namtambua vizuri mh.rais
KUBWA ZAIDI JE KUNA USHAHIDI GANI WA KUAMINIKA KUTOKA KWA HUYO DR. KUWA AMETENDEWA UNYAMA?
Kama ni mzushi je?

Ni uadilifu gani huo unaosema anao KJ? Kama angelikuwa mwadilifu ameshindwa vipi kuwawajibisha wanaomchafua kwa utendaji mbovu na ufisadi wa rasilimali za nchi yetu? (Hiyo ni dalili kuwa anashirikiana nao au anawatumia ktk kuiibia nchi). Kama ni mwadilifu ameshindwa vipi hata kulitatua tatizo la Madaktari ambalo kubwa ni kuboresha mazingira ya mahospitali na vitendea kazi vyake? (Huyu unaweza kusema ni mzalendo kwa nchi yake?) Mbona kama ni muadilifu anatajwa katika kashfa kama za Richmond na Dowans ambazo alisema hawafahamu wamiliki wake lakini walipokuja tu nchini walifikia ikulu? (Kama kweli hawafahamu wamiliki wa Dowans mbona aliamuru ilipwe tozo kutokana na hukumu ya mahakama?)
 
hapana,hapana,jamani.sidhani kama mh.rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania anaweza kuhusika,kumbuka kuwa yeye ni kiongozi wa nchi tena muadilifu katika utendaji,jamani tusimsingizie kila jambo amehusika,llaaaaaaaa'namtambua vizuri mh.rais
KUBWA ZAIDI JE KUNA USHAHIDI GANI WA KUAMINIKA KUTOKA KWA HUYO DR. KUWA AMETENDEWA UNYAMA?
Kama ni mzushi je?
Huyo jamaa unaejitahidi kumsafisha unajisumbua tu wala usihangaike, halafu hapo kwenye red umewaza kweli?
 
hapana,hapana,jamani.sidhani kama mh.rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania anaweza kuhusika,kumbuka kuwa yeye ni kiongozi wa nchi tena muadilifu katika utendaji,jamani tusimsingizie kila jambo amehusika,llaaaaaaaa'namtambua vizuri mh.rais
KUBWA ZAIDI JE KUNA USHAHIDI GANI WA KUAMINIKA KUTOKA KWA HUYO DR. KUWA AMETENDEWA UNYAMA?

Kama ni mzushi je?
Hapo kwenye Red! kung'olewa meno mawili na kucha bila ganzi sio ushahidi wa huo unyama? wa taka ushahidi gani weye?
 
Back
Top Bottom