Nchemba anatumiwa, CHADEMA na NCCR kuweni makini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchemba anatumiwa, CHADEMA na NCCR kuweni makini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Desteo, Jul 3, 2012.

 1. Desteo

  Desteo JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 446
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Katika vikao vya Bunge vilivyopita sikuwahi kumsikia Nchemba akichangia hoja yoyote. Nilimsikia zaidi pale ambapo palitokea By election (uchaguzi mdogo wa jimbo). Ndani ya Bunge mchumi huyu wa daraja la kwanza alikuwa akifuatilia tu mtiririko wa Bunge.

  Sasa inavyoonekana katika kikao hiki cha Bunge, ccm inamtumia vizuri sana na kwa % kubwa wanafanikiwa kuwavuruga hasa wabbunge wa cdm na nccr. Wanakasirika, wanatolewa nje na mwisho wa siku bajeti zinapitishwa! Mpango huu ungemhusisha pia Lusinde sema tu pale ni ndani ya Bunge na penye kanuni na si uwanja propaganda. Ni kwa kuwa pia Lusinde hana elimu ya hoja kama Nchemba. Si kama namsifia. Kwa levo ya ccm, Nchemba ana hoja.

  Hivi cdm na nccr hawajiulizi ni kwa nini kila Nchemba akisimama anaikosoa tu bajeti ya cdm? Hawajiulizi ni kwa nini anapewa nafasi vile? Cdm na nccr wang'amue sasa kuwa wanachezewa mchezo mchafu. Watumie mbinu waliyotumia kwa Shibuda-yaani kuwapuuza wale wote wanaotaka kupotosha uhalisia. Pale miongozo inapoombwa ndio hapo hapo ccm wanapata pwenti za chee kwa kuwa wanajua tu cdm na nccr watakasirika na kushindwa kuwa makini. Hili mlione tafadhali.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu nafikiri wamekusoma lakini kwa CDM wamefika
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nchemba is 'A NOBODY' in the current level of politics that are going on.

  And to be more candid, this is one soul that need's CCM's going away much more than anybody else. Just ask him about that his father had to put up with in some NOT too distant a past - in fact the guy and the two speakers are the party's sworn enemies at best if you never realised.
   
 4. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  aisee ''Desteo'' kwa namna flani naweza nikakubaliana na wewe, si bure huyu Nchemba kila anaye kalia kiti (mwenyekiti/naibu spika/spika) wote inaonekana wanamwachia uwanja wa yeye kuvuruga akila za watu, na hisi huo ndo mpango mkakati wa kuhakikisha anawatoa wabunge wa CDM alafu Hoja/Bajeti zao zinapita.
   
 5. Desteo

  Desteo JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 446
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sasa ndio wafunguke sasa. Si kila wanachoporomoshewa wakijibu
   
 6. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  halafu huyu nchemba si nasikia anatumia cheti cha mtu? tena msukuma kwani wanyiramba wana watu wanaitwa nchemba?
   
 7. Hossam

  Hossam JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 2,363
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  Pana chembe za ukweli hapa. Angalizo tu ni kwamba in the anu of Tanzania politics and with regard to the level of the general mass understanding I am a bit kinda speechless kusema hatma yake. Umaarufu anaoupata Nchemba kupitia CDM unaweza kutafsiriwa kama anguko lake kisiasa kama ataendelea kucheza na CDM , I presume Nchemba anajua yaliyompata Shibuda. Political risk is very bold in Tanzania, tutayaona na speed yake. Mtazamo wangu tu.
   
 8. Hossam

  Hossam JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 2,363
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  Pana chembe za ukweli hapa. Angalizo tu ni kwamba in the anu of Tanzania politics and with regard to the level of the general mass understanding I am a bit kinda speechless kusema hatma yake. Umaarufu anaoupata Nchemba kupitia CDM unaweza kutafsiriwa kama anguko lake kisiasa kama ataendelea kucheza na CDM , I presume Nchemba anajua yaliyompata Shibuda. Political risk is very bold in Tanzania, tutayaona na speed yake. Mtazamo wangu tu.
   
 9. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkuu labda nikwambie tu kwa siku mbili tatu hapa jinsi nilivyoona anavyojadiliwa na wananchi wa kawaida kwenye daladala, vijiweni nk ni hakika hata wananchi wa kawaida wamemdharau sana na hasa ccm.
   
 10. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  well analysed
   
 11. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mie mbona naona nchemba anajishusha thamani kwani wananchi wake walimtuma kwenda kuwashambulia wapinzani? alafu muangalie jj huwa hakasiriki sana kwani akikaa anacheka au kutingisha kichwa
   
 12. l

  local Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani siku hizi NCCR wanakuwa kapu moja na CDM, NCCR ni wanafiki-wazuga tu bungeni kuwapumbaza wasioelewa kuwa wao ni CCM-C, chama kilicho makani kuwakomboa wananchi na ambacho ndicho taget ya CCM ni CDM basi, hata huyo nchemba/chemba/mfereji wa maji taka-yeye anadili na cdm tu! kitu ambacho hatofanikiwa kamwe! sana ajiandae kupoteza jimbo 2015.
   
 13. j

  jigoku JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kuna haja ya kuwatengenezea strategy ya kupeleka M4C huko jimboni kwake kipindi hiki cha bunge,hii itamfanya aondoke bungeni haraka na atakosa raha.kinachotakiwa hapa viongozi wa juu wajipange,Mh Lema na baadhi ya timu makini wakiwa sambamba na Dr Slaa. hiyo ndio dawa pekee
   
 14. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 160
  akili ya panzi fanya utafiti kwanza,kisha uingie tena jf,mbona mnapenda sana uzushi?mnakera sana.
   
 15. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,723
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Nilichofurahi leo kila aikipokuwa akiongea, sugu alikuwa anapaza sauti iliyokuwa inasikika vyema kama vile kawasha mic akimwambia ''acha ukada'' kila akiongea akivuta pumzi tu sugu anamchomekea ''acha ukada''
   
 16. BIG Banned

  BIG Banned JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Lakini CDM hawawezi kukaa kimya kama mtu anapotosha jamii na kudhalilisha chama!!.
   
 17. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,148
  Trophy Points: 280
  Jana niliangalia Bunge. Nilikasirishwa sana na Nchemba kwa jinsi alivyokuwa anaenda OFF HOJA zilizokuwa zinajadiliwa ili awaProvoke CHADEMA. hakika sikupenda eti kulita hoja oooh mmeandika hivi kwenye taarifa yenu. mwisho akamalizia hata mnapokaa bungeni ni kama mko Sebuleni. Kijana mwenyewe anaongea kama vile anatoa mipasho isiyo na tija. halafu anachekelea. Joni Mnyika na Mchungaji achanienina hoja za huyu Mbunge za kuudhi.
  Hivi Enzi za Mr&mrs Sita,
  Mr&mrs Malechela,
  Mrs &mrs Shelukindo kuwa Bungeni walikuwa wanakaa kama wamekaa wapi? Acheni kuhubiri UKABILA na FAMILIA Bungeni.
   
 18. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,164
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
  Ni msomi wa uchumi wa ccm
   
 19. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nchemba ni mdogo wa umri, lakini akili yake ni ya umri wa miaka kama 120 hivi, kijana anachosha sana kumsikiliza yule. Anafoka pumba tupu mdomoni mwake.
   
 20. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Utafikiri kameza ka-mnyama kalikooza siku nyingi.
   
Loading...