Katika wabunge wachovu nafikili wabunge wa Tz ni wachovu sana, kwanza wana mikwara mingi kuliko vitendo
kinachoniudhi mimi sasa, wanajua kusimama na kukalipia sana na kujifanya wanatetea maslahi...
Kwa mwananchi wa kawaida anayetaka kuelewa "Kero za Muungano" atamwelewa zaidi Tundu Lissu kuliko maelezo ya Werema. Sikusudii kusema nani ni mahiri katika fani ipi, ninataka kuangalia tu ni nani...
Wanachama wa chama cha Mapinduzi ccm wameandamana mkoani Mwanza kupinga mgomo Wa madaktari unaoendelea hivi sasa hapa nchini mwetu na kuwataka madaktari waache migomo na kurudi kazini kwa ajili ya...
Wednesday, July 04, 2012
HOUSTON (KTRK) -- A 30-year-old Tanzanian man was arrested at Bush Intercontinental Airport after he allegedly tried to smuggle heroin into the United States by ingesting...
Serikali ya Zanzibar imesema haina kosa kusajiri hizo meli na kupeperusha bendera za Tanzania kwa sababu Zanzibar ni sehemu ya Muungano hivyo Meli hizo kupeperusha bendera ya Tanzania ni sawa...
Sikuamini macho yangu, huyu mukulu wa mradi wa yale Matrekta ya Suma JKT pakle Mwenge maarufu kama "Kilimo Kwanza" nimeshuhudia leo akishuka kwenye gari ya Takukuru akiwa anafikishwa mahakamani...
Baraza la Taifa la elimu ya ufundi(NACTE) limesababisha wanafunzi wengi waliohitimu diploma waliopeleka vyeti vyao kusajiliwa il kuweza kufanya udahili kwa mfumo wa pamoja(CAS) kushindwa kuomba...
I know, I mean I know the government is looking for way out; on how they gonna spin this one off. Well, there is no way out. The security agents who assaulted Dr. Ulimboka must be arrested and...
Natazama Bunge live lakini cha ajabu naona kama wabunge wa CCM wanaijadili tena kwa kina bajeti ya upinzani. Kimsingi nadhani walitakiwa kuiboresha bajeti ya serikali yao huku wakiuchukua ushauri...
VIONGOZI na wafanyabiashara nchini, wameelezwa kutorosha na kuhifadhi fedha nje ya nchi kiasi cha Sh trilioni 16.6
fedha ambazo zinazidi bajeti ya Serikali kwa
mwaka 2012/13.
Mbunge wa...
ALHAMISI wiki iliyopita, Mbunge wa Viti maalum (CCM) Martha Mlata alitaka kauli ya serikali kutoka kwa kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuhusu madai ya kuwapo watu wanaochochea mgomo huo kwa...
3rd July 2012
The government of Zanzibar has said from this fiscal year doctors would be paid risk and house allowances.
State Minister in the Presidents Office (Public Service...
DOCTORS' ETHICAL DILEMA IN TANZANIA;
To my understanding Ethics involve doing "good" and causing no harm to yourself, your family, friends and others. Ethical dilemma can be made resulting in...
Vitambulisho vya Taifa vinanikumbusha uchaguzi mkuu wa 2010..
Kipindi hicho mgombea wa uraisi kupitia ccm alitawanya mabango yake nchi nzima hata kule kusiko fikika kwa urahisi {vijijini ndani}...
Kwa takriban miez & sasa madactari wamekua na mgogoro na serikali, ambao ulianza kwa mainterns waliofukuzwa pale MNH miez & iliyo pita japokua hiyo c hoja tena kwa sababu tatizo hilo...
MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO), MHESHIMIWA TUNDU A.M. LISSU (MB.) KUHUSU
MPANGO NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA...
"Mimi siungi mkono mgomo. Sipendi kuona wananchi wanakosa huduma muhimu-iwe ya tiba, maji, elimu, chakula...lakini hapa kuna madai ya mazingira bora ya kazi na maslahi ya wafanyakazi..... Kwa...
Bungeni LIVE,
Chiligati amesema serikali 2 ndio muundo bora kabisa, pia akasisitiza wanaotaka serikali 3 wanatupeleka kuzimu. Naona serikali sikivu wameweka msimamo wa serikali 2 rasmi na inatisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.