Toka awamu ya tatu ianze katika ngazi ya utekelezaji wa mpango wa kurasimisha rasilimali na biashara za wanyonge (MKURABITA) mwaka 2008 mpaka sasa 2012 kuna dalili zozote zinazoashiria mafanikio ya sera ya kumilikisha uchumi kwa watanzania wanyonge kupitia mpango huu?. Kama zipo ni zipi kama hakuna sababu ni zipi? Karibuni wadau