Nimefuatilia majadiliano kadhaa juu ya kichapo cha Dr. Ulimboka. Watesi wake inasemekana walimuuliza Swali muhimu sana " NANI YUKO NYUMA YA MGOMO HUU WA MADAKTARI?" ni Swali muhimu sana kwa...
Kwa maneno uake Dr ULIMBOKA ametoa kauli ya kishujaa na kutia shime na hamasa katika mapambano yanayoendelea ya kudai haki katika kuboresha huduma za afya na maslahi ya madaktari
"Naelekea nje...
Serikali hii iliyokuwa madarakani ni wafuatiliaji wazuri wa ushuru kwa akina mamantilie,wasakatonge na wachumia tumbo tunaacha kuwabana akina (MGM) ni kwanini serikali isikopi kutoka zimbabwe...
Karume alipoongoza nchi kwa kutumia presidential decrees hakuvunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Maana enzi za utawala wake aliwahi kutumia Presidential Decrees zifuatazo:
(i)
The...
Kumekuwa na dhana ya bunge kupoteza mwelekeo katika siku za hivi karibuni kiasi cha kupigiwa kelele na watu wengi utafiti wangu unaonyesha kwamba uongozi wa bunge (spika, naibu spika, wenyeviti)...
Tukiangalia mara nyingi yale yanayoendelea hapa nchini na mwishowe kuleta mitafaruku, wanaolalamika wanasema 'Rais alishauriwa vibaya, Rais kada nganywa...' Ni kweli? Hivi suala la hali duni...
Waziri wa Bandari Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, Mhe. Hamadi Masoud Hamadi
-- Mhe. Spika,
Tarehe 27/06/2012 Vyombo vya Habari hapa Tanzania (The Citizen) na nchi za nje (International news...
Ni siku 2 sasa zimepita toka Dr. Ulimboka aende nje ya nchi kwa matibabu. Wanajamvi tupeane updates tujue jamaa anaendeleaje huko SA.
I have just been informed that the Dr is doing fine...
Kuna kijana anaitwa Humphrey Polepole anaitetea serikali kwa njia ya mzunguko. Anasema si wajibu wa serikali kutoa ajira na Makampuni makubwa ya ndege duniani si ya serikali.
http://youtu.be/2s-Q2vZGN9g
http://youtu.be/ByeyjMhwMxU
Source OAKLAND INSTITUTE
Iowa-based investor Bruce Rastetter and fellow investors in the industrial agricultural corporation AgriSol...
Hivi serikali gani itaendelea kuwakubalia kila kitu hawa wahuni? kama hawataki kazi kwa nini wasijiuzulu kisha wakatafute kazi zingine. wananchi wanakufa kwa sababu dakatari ambaye serikali...
Ndugu wana bodi,
Kwa muda mrefu sasa umekuwepo upotoshaji wa madai ya madaktari kwa lengo la kutaka kuwaaminisha wananchi kuwa madaktari wanapigania maslahi yao pekee. Jana Dr Chitage wa Jumuia...
Sakata la mgomo wa Madaktari ambalo linaibuka na kutoweka kama samaki baaharini, linapelekea watu kujiuliza maswali mengi hususani juu ya nini uhusiano uliopo na mgomo huu na watu ama Makundi...
Mkasomali na Mnyika waomba mwongozo kufuatia mgogoro wa madaktari na uendeshwaji wa Bunge hapo jana
Mwenyekiti bi Jesta Mhagama awazima, Mnyika aomba mwongozo
Mh. Machali na Mnyika wameomba...
Mheshimiwa Jaji Warioba,
Tunakuomba usiwachagulie waTanzania nini cha kuongea katika kutoa maoni yao. Kwa nini hutaki madaraka ya rais yazungumzwe. Kama tulivyotabiri, you will never be impartial...
hebu tujadili kwa kina bila hisia kali.
Ni ukweli usiopingika kuwa afya ni moja ya mambo muhimu katika maendeleo na ustawi wa mwanadamu.
Kusini mwa jangwa la sahara tumeshuhudia mamilioni ya...
Mimi kama mwananchi ambae kwa sasa ni wakawaida ni mstaafu wa JWTZ niliyeshiriki kikamilifu kumtimua Nduli,.Wananchi huwa wanaambiwa kazi moja ya jeshi ni kulinda mipaka yetu na wengine...
Wala hatuna haja ya kuweka mikwara sii wao wataanza kukata misaada. Wakikata misaada na kufunga balozi zao ina maana wawekezaji wote nchini wanakuwa hawana mdhamana wala sheria haipo tena. Hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.