Ndugu wana JF na WaTanzania kwa ujumla.
Nashangaa na sikubaliani na namna Bunge letu Tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linavyo endeshwa na jinsi Spika wa Bunge na Wabunge watumiavyo...
Jumuiya ya madaktari Tanzania imekataa msaada wa serikali kwa ajili ya kugharamia matibabu ya Dr Ulimboka Stephen.
Msemaji wa wizara ya Afya Nsachris Mwamwaja jana alisema serikali ilikuwa tayari...
Mods naomba mbadilishe iwe KISWAHILI
Nimeghafilika kiasi....na members wengine niwieni radhi...
Hii slave mentality na low self esteem tutaachana nayo lini?
Kwa jinsi anavyo onekana kweli huyu jamaa atabaki kutamani uwaziri kama u****** wa Mtoto mdogo akigusa tu kabaka na adhabu yake ni maisha jela na kazi ngumu pamoja na kuchapwa viboko 12 siku ya...
Toka mgomo huu ulipoanza, nimekua nikijiuliza maswali mengi kadiri siku ziendavyo. Lazima nikiri kwamba na mimi nilitumbukia katika mtego wa kulaumu upande mmoja wapo kabla ya kujiuliza vizuri...
Sifa moja ya Watanzania ni kufanya mambo kisanii/kishkaji. Bw Reginald mengi alilalamikia kitendo cha polisi kumbambikizia mwanae madawa. Hadi leo hatuambiwi nini kinaendelea. Dr Mwakyembe...
Hapa ndo nazidi kuitia mashaka serikali ya CCM hivi mbona haingii akilini?
Mtalii aliuwawa serengeti serikali ikahamia serengeti na wauwaji wakakamatwa ndani ya masaa 24
Kwa Dr. Olimboka...
MH. MBOWE MUULIZE MASWALI HAYA WAZIRI MKUU SIKU YA ALHAMISIKIPINDI CHA MASWALI YA PAPO KWA PAPO TOKA KWA WABUNGE.
1. Kwakuwa Manyanya ni mkuu wa mkoa, kwa hiyo sualaalilo litoa bungeni kuwa...
Mbunge wa Bariadi na Mwenyekiti wa UDP John Cheyo ameshambulia chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM bungeni jioni hii kwamba kinachochea mgomo wa madaktari nchini na kinapaswa kuacha mara moja...
Akiongea leo mchana na waandishi wa Habari amesema maandamano hayo ni kupinga mgomo wa Madaktari unaoendelea ambapo maandamano yatafanyika kesho saa 9.
Je, chama cha demokrasia na Maendeleo...
Ndugu Wananchi,
Kama ilivyo ada naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehma, kwa kutujaalia uzima na kutuwezesha kumaliza nusu ya kwanza ya mwaka 2012 salama. Kwa...
Kuna taarifa za serikali zinasema kwamba Dr.Ulimboka sio mtumishi wa serikali,swali langu je ni kweli kwamba jamaa sio mtumishi wa serikali?na je kama sio muajiriwa wa serikali alikua anashiriki...
Wana JF nipo hapa Stand kuu(Tanga)naangalia Bunge,katika kuhitimisha Hoja,Naona Waziri mwenye dhamana (Celina Kombani)anasema Mbunge wa Nkasi amechora mtumbwi kuonesha hisia za matatizo katika...
Nimekuwa nikifuatilia sana mjadala wa kikao cha bunge kinachoendelea hivi sasa bungeni kwa kweli inatia huzuni kubwa kwa spika,naibu spika mwenyekiti Jenista muhagama na bwana mabumba kweli nyote...
The Associate Press reports that, French investigators searched former President Nicolas Sarkozy's home and office on Tuesday as part of a probe into suspected illegal financing of his 2007...
UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa Mbeya, imeomba serikali kuwapatia haraka iwezekanavyo madaktari wengine kuja kuziba nafasi zilizoachwa na madaktari 72 waliotimuliwa hivi karibuni.
Mkurugenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.