Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,998
- 144,329
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni na kuna msemo mwingine unasema nyani haoni kundule.Misemo hii miwili ndioi inaweza kumtambulisha vizuri mbunge wa viti maalum mkoa wa Rukwa eng.Stella Manyanya.Wakati Manyanya akimlaumu Dr.Steven Ulimboka kuwa kinara wa mgomo na hata kumfananishi na Adolf Hitler yeye mwenyewe alikuwa mmoja wa vinara wa mgomo wa wafanyakazi wa TANESCO enzi za Net Group Solution.Habari hii kuhusiana na mbunge huyu inapatikana ktk gazeti la Tanzania Daima la trh 04/07/2012.
Sasa hapa tunapata picha halisi ya wabunge wetu na unaweza kujua nani ni mnafiki na nani yuko kutetea wananchi.
Hivi vitu maalum kwakweli ni tatizo kubwa sana ingawa hata wabunge wa kuchaguliwa nao baadhi ni tatizo ila hawa wa vitu maalum too mch.