swali tz umaskini wetu utaisha lini

combra

Senior Member
May 28, 2012
130
31
nimekaa chini nikafikiria mateso tunayoyapata watanzania yote ya nasababishwa na umaskini wetu,ukitembea maeneo ya vijijini watu wana hali ngumu sana hata huduma muhimu za kijamii hazipatika,kama shule,hospital na barabara mbaya zaidi chakula hakipatika.lakini ukiangalia kwa makini kuna watanzania ndani ya nchi ya tanzania tatizo la njaa na huduma za kijamii kwa hamna.je kwanini kuna gape kubwa sana kati ya tajiri na maskini. Je hali itaisha lini? Natuna rasilimali nyingi sana ambazo mungu ametupa.je tatizo nini?ni watanzania wenyewe au viongozi?
 
Back
Top Bottom