Athari za mgomo wa maDr zisizozungumzwa!!!!

Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
345
WanaJF,

Huu mgomo una athari zaidi ya zile za wagonjwa kutotibiwa!!

Karibu hospitali zote kubwa zenye maDr waliogoma zina vyuo vya kufundishia udaktari, unesi, ufamasia, udaktari wa meno, ufundi wa maabara, n.k., n.k., n.k.

Hivi vyuo viko karibu na au ndani ya hospitali kwa sababu ya wagonjwa. Bila wagonjwa hivi vyuo vinakwama.

Kwa hiyo kama mgomo umefanya hospitali zisiwe na wagonjwa, basi pia kufundisha kumekwama!!

Hii ina maana vyuo hivi vimeathirika kwa wiki hizi mbili mpaka sasa.

Wagonjwa wanahitajika sana katika practicals za wanafunzi. PATIENTS ARE THE BEST BOOKS FOR STUDENTS!!! Most of the training of health specialists is practicals!!

Halafu mitihani ya kumaliza miaka inaanza mwisho wa Julai. Sasa sijui itakuwaje kama mgomo utazidi kuendelea!! Wanafunzi watakuwa deprived of their best books wakati wakijiandaa kufanya mitihani!! Can you imagine the magnitude of the consequences?

Nawasilisha!!!
 
Sasa si uwaambie hao wagomaji ambao hawajui kwamba wako kwenye suicide mission!
 
Back
Top Bottom