K K kibodi Mar 16, 2014 Ombi langu Viongozi wa CHADEMA wachapishe matokeo ya vituo vyote na kata zote za jimbo la Kalenga na kuyaweka hadharani kwenye mitandao au magazeti baada ya kutangazwa na tume ya uchaguzi. Itatusaidia kijua km tume imechakachua ama la
Ombi langu Viongozi wa CHADEMA wachapishe matokeo ya vituo vyote na kata zote za jimbo la Kalenga na kuyaweka hadharani kwenye mitandao au magazeti baada ya kutangazwa na tume ya uchaguzi. Itatusaidia kijua km tume imechakachua ama la