Utawala unaomwaga damu za watu wake kujihalalisha unajiangusha wenyewe, ni historia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utawala unaomwaga damu za watu wake kujihalalisha unajiangusha wenyewe, ni historia!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ibrah, Jul 4, 2012.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Idd Amin Dada, Jean Baptiste Bedel Bokasa, Saddam Hussein, Al Assad,
  Nero nk.
  Sikuamini na siamini kama Serikali yetu imemwaga damu ya Dk Ulimboka ili kuondoa 'udhia' na kunusuru damu za Watanzania wagonjwa kumwagika. Nimeshawahi kusikia kuwa Serikali hulazimika 'kuwapoteza' watu wake ili kutawala bila shida. Kama kweli serikali yetu imehusika, hiyo ni ishara ya kuanguka na ili kujinusuru haina budi kuchunguza kwa dhati na kama wapo watendaji wamehusika, wafikishwe kortini.
   
Loading...