Wako wanzanzibar ambao mafanikio waliyonayo leo yanatokana ama yalitokana na uwepo wa muungano huu. Chaajabu, sauti zinazosikika ni za wale ambao wanasema muungano haufai na hauna manufaa kabisa...
Je, tuko tayari kupokea majibu yatakayotokana na Mchakato wa Katiba Mpya?
Katika siku za karibuni kumeibuka mijadala mingi katika siasa za Tanzania. Kwa bahati mbaya, kwa masuala ambayo yanahitaji...
Leo hii Bungeni Mbunge wa Ubungo Ameambiwa kuwa alete ushahidi kuhusiana na MWIGULU NCHEMBA kuhusika na EPA. Ili kupata ushahidi unaokidhi neno "kuhusika" inabidi lipate maana sahihi kwa maana...
Mama Tibaijuka, tulikwambia kuwa hapa ni Bongo ya CCM, utapoa tu. uta-loose your credibility! utakuwa kama wao!! Na sasa umeshakuwa hivyo. Umegeuka mzuka wa kugonga meza kama wenzako. nimekuona...
ANNA MAKINDA,STELLA MANYANYA,MWIGULU NCHEMBA,JOB NDUGAI,JESTINA MUHAGAMA NA WENGINE WENYE UNAZI WA CCM TUNATAKA MASLHI YA NCHI KWANZA HATA CCM NA CHADEMA VIKIFA KAMA CCM INAVYOELEKEA KUFA TANZANIA...
Wabunge wengi wa CCM wana hasira sana kwa vile majimbo yao yamepitiwa na M4C na kupoteza Wanachama wengi, Nimesikiliza kwa makini sana hotuba za wabunge wa Lindi na Mtwara, hakika lazima wailaumu...
"Mwisho, Mheshimiwa Spika, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni inaitaka Serikali iwaeleze Watanzania juu ya hatua, kama zipo, ilizozichukua kuzuia ukiukwaji huu wa Makubaliano ya Muungano, Sheria ya...
Ktk kikao cha bunge kinachoendelea Dodoma leo ni wizara ya mazingira na wizara ya muungano. Cha kushangaza mwenyekiti wa bunge ametangaza kwamba watajadili leo na kuhitimisha leo leo! Je ni sawa...
Jamani ghafla umeme umekatika sekunde chache kabla upinzani kuwasilisha
Bajeti ya mambo ya Muungano na Mazingira.
Ni ajabu lakini hali hii imetoka. Serikali na TANESCO yao wapumbavu kweli...
Kazi ya Polisi ni kufukuza na kukamata wezi. Mkuu wa Mkoa na Kamamda Kova wanaposema kwamba kuna madaktari wanawatishia wenzao wanaogoma,hili jambo ni bora lingetamkwa na madaktatri waliotishiwa...
AFYA ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk Steven Ulimboka imeendelea kuimarika baada ya kupata matibabu nchini Afrika Kusini na sasa figo zake zimeanza kufanya kazi.Dk Ulimboka alipelekwa...
Kwa mara nyingi kumekuwepo kauli za kuwa CCM ijiandae kisaikolojia kuwa Chama cha Upinzani, katika hili Mwigulu ameonesha kwa vitendo kwa vile kila akijichangia katika vikao vya bajeti amekuwa...
JAmani kumbe hata wao wenyewe wanajijua kwamba ni wadhaifu? Sasa why wakiwa pale Bungeni wanajifanya wanajua? wakati kwenye Vikao vyao yanakuwa haya;
ANAGALIA HAPA...
Niko hapa Temboni Vijana wanajadili siasa zinzoendelea Bungeni, na kusikitishwa sana na kauli za Mabumba aliyoitoa kwa Mnyika, kiasi kwamba wanatumia jina hili katika ubishani kuwa wewe umeongea...
Tanzania imefika sehemu ambao lazima tuiadabishe serikali hii.Tukikaa kimya janjaweed watakuja kwako au ndugu yako.Tushirikiane wote kukemea na kuwatenga hao janjaweed na serikali ya ccm.Matukio...
Wamefunikwa, wakakubali na wakasinzia...
Wapi Hemed Rashid? Tangia kikao cha bajeti kimeanza sijawahi tena kuwasikia... wapo?
Angalau yule jamaa wa Lindi Mjini, na yule mama Viti maalum wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.