MAT, Baraza na Jumuia ya madaktari Tanzania

kalcha

Member
Apr 2, 2012
79
12
Wazee wa jukwaani niwieni radhi, jana katika vikao vya jioni tulipata tabu kufikia muafaka wa nani ni nani na nini ni nini kuhusu mgomo wa madaktari!
Naomba ufafanuzi na mahusiano kati ya vyombo hivi vitatu vya taaluma ya udaktari
  1. MAT (Medical association of Tanzania) - nafikiri ndo inatafsiriwa kama Chama cha Madaktari tanzaia
  2. Baraza la madaktari tanzania
  3. Jumuia ya Madaktari tanzania
 
wakishakufafanulia ndo utafanyaje/itakusaidia nini?utatuletea vifaa na madawa kwenye mahosp yetu?
Tunalo tatizo;madr wako kwenye mgomo,wagonjwa wanahangaika,vifo vinaongezeka,mkuu wa nchi anatoa majibu ya hovyo!wananchi wake tunazidi kutaabika..tufanyeje?
Wanajf,magreat thinkers hebu tujadili vitu vyenye substance.(mkuu wa nchi anasema 'SINA HELA' asiyetaka kufanya kazi kwenye mazingira hayo na mshahara huo aache kazi..na anaishia hapo!wananchi tufanyeje?pinda anasema wamejadiliana imeshindikana sasa 'LIWALO NA LIWE'.jamani tuna viongozi waloishiwa kiasi hicho......na sisi tunaangalia tu wakati ndugu zetu wanataabika na kufa bila hatia?tuliwachagua wawe viongozi kwa ajili yao ndugu na jamaa zao tu au kwa ajili yetu sote?
 
Back
Top Bottom