Kusimamishwa kwa viongozi wa chadema- karatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kusimamishwa kwa viongozi wa chadema- karatu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MZEE WA KARATU, Jul 4, 2012.

 1. M

  MZEE WA KARATU Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa Chadema wasimamishwa Wilayani Karatu. Viongozi hao ni Katibu wa Wilaya Bw. Laureti Malkio Botha, Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya Bw. Joseph Samwel Mtui na Katibu wa BAWACHA Wilaya Bw. Melkiori D. Mao
   
 2. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  toa ufafanuzi mkuu au habar ndo imesha??
   
 3. mashami

  mashami Senior Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  fafanua wa amordo vizuri
   
 4. a

  ayhan2000 Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari haijakamilika hatujui nani kawasimamisha na kwa nini wamesimamishwa au habari ndio mwisho hapo...jipange upya
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Nani kawafukuza tena?
   
 6. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Taarifa haijakamilika ndugu tujuze zaid.
   
Loading...